To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Huyo ndo mzuri sasa,siyo mwanaume gubu 24hoursNiliolewa na mtu alinipita 5 years lakini akili zake anaijua mwenyewe. Mbona niliondoka mwenyewe . Nimepata ambaye kanipita miezi 4 tu na tuko powa tu. Utani kama wote, yaani ni marafiki.