Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Age is just a numberTo be honest, siwezi date na mtu hata ambaye tunalingana umri, napenda my man awe amezidi walau kuanzia miaka 5 hivi hadi 10..tofauti na hapo better niendelee kuwa single 😌😌
kwahiyo nitabaki kua youngie😢Yaan mimi mwanamke ndo nimemzidi?
Nehi sijawahi...
Labda na yeye anizidi pesa na vitu vinginekwahiyo nitabaki kua youngie😢
Duuh!! Gap ya 30yrs si mchezoKuna binti kaolewa na mwanaume kamzidi 30 years okus kisa pesa.namuonea sana huruma maana mwanaume ni spina mkononi. Yaani ana stress kama zote. Sasa hivi anaanza kuona jamaa ni msumbufu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]Mimi sikatai nyinyi kupendana ,Upendo una Nguvu sana,kinachonikera Mimi Kwa Nini akuamkie shikamoo??kwani mngeambiana tu mambo baby angepungukiwa Nini?
dah, friendzone hii hapa😂Labda na yeye anizidi pesa na vitu vingine
Thanks Lord sijakutana nao wa hivyo 😃😃😃Age is just a number
Hujakutana na mibaba isiyokuwa timamu wewe 🤣🤣🤣
asante kwa kunitia moyo😂Safi sana
fuata moyo wako aisee
Fanya vile moyo unataka .
Hawa wababa wana muda wa kutuma sms ndefu??Mimi huwa napenda kudate na mwanaume aliyenizidi umri for real😂. Nahisi kuwa comfortable maana bado naamini kuwa a man is the head of a family. Nikizingua nikumbushwe kwa essay ndefu sana😊❤️🤣
😂 essay ya maongezi ( voice call )Hawa wababa wana muda wa kutuma sms ndefu??
😂😂😂a.k.a mashangaziHao wanawake hapo uliowa-tag ndio waliokula chumvi nyingi humu JF.?
Apia?????Karibu sana, nina hizi sifa zote, I'm humble you know 😊
One of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sanaMimi siwez Yani nitajisikia vibaya kama ikitokea Kwa kutokujua😀😀
akampiga chini??One of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sana
Sasa my friend yupi on early 30
Siku anakuja kujua mpnz wake Ana 26
Alilia week nzima
Ndiyo japo ilikuwa ngumu ujue walishanogewaakampiga chini??