Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

One of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sana
Sasa my friend yupi on early 30
Siku anakuja kujua mpnz wake Ana 26
Alilia week nzima
Yani kiukweli itaniuma my x boyfriend nilikuwa na wasiwas na umri wake nae akanitajia umri nilomzid mwak mmoja nikiangalia shule mm nilitangulia kumaliza,kabla yake nilikuwa najisikia vibaya sana
Kila siku namuuliza hiv kweli ndo umezaliwa mwaka huo 😂nae anajibu Kwa msisitizo ndio na chet Cha shule akanionyesha nilichoka 😀
😀 Kumbe alichelewa kuanza shule wakamuandikisha mwak sio wake,nilikunywa peps baridi mbona😂😂
 
Unaona unadate na mdogo wako confidence inapotea
Nawaza huyu dogo namvulia nguo kabisa
 
Namkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha kwenye kupokea komunio…

Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kazi zake zote.....nazikataaa
Unajibu kwa nguvu kabisa 😅😅
 
Namkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha kwenye kupokea komunio…

Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😃😂🤣🤣🤣🤣
 
Unaona unadate na mdogo wako confidence inapotea
Nawaza huyu dogo namvulia nguo kabisa
Kabisa mm napenda walonizid au sijui sababu napenda kudeka 🤦🤦
Upo na kitoto unadekaje Sasa 😂😂😂 kenyew kanawaza nyonyo ukute ka last born😂😂😂
 
Na kazi zake zote.....nazikataaa
Unajibu kwa nguvu kabisa [emoji28][emoji28]

Kwa ukakamavu kabisaa

Cha ajabu padri anashangaa kila tukienda kufanya kitubio, tunaonekana sisi ndio tunamsaidia kufanya kazi zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unamfinya
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
raha sana😂
 
Kwa ukakamavu kabisaa

Cha ajabu padri anashangaa kila tukienda kufanya kitubio, tunaonekana sisi ndio tunamsaidia kufanya kazi zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nmeenda kuungama nikasema nmesema uongo sijui nmeiba
Padri alinichamba eti msichana kwann unaiba ukikamatwa si utapigwa 😆😆😆😆😆😆 tangu siku hyo sijawahi ungama ni zaidi ya miaka nane
 
Namkataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umenikumbusha kwenye kupokea komunio…

Namkataa nyingi, ss hivi tunamkumbatia kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Nimecheka
 
Ewaaaaa Wewe namimi tupo pamoja. Sitoki na mshangazi niliouzidi pesa!! Yani anizidi umri, dhambi, shida halafu nitoke nae? For what? Yani mshangazi hauna usafiri tutumie wangu, bills hauwezi kuclear hata kudonate robo unaniangalia Kama baba ake mzazi, I love to make my money loud, but not in company of broke cougars!!
Raha ya mshangazi usiwe mnyonge, uwe unaweza hata kukuhonga kibunda ukifulia
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom