Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Raha ya mshangazi usiwe mnyonge, uwe unaweza hata kukuhonga kibunda ukifulia

Kama masugar daddy wanahonga vibinti same applies to cougars, Sasa nashangaa mwanamke umri umesonga halafu still anataka kijana mdogo ampelekee moto na bado huyo kijana amtunze mshangazi wtf??
 
Kuna siku nmeenda kuungama nikasema nmesema uongo sijui nmeiba
Padri alinichamba eti msichana kwann unaiba ukikamatwa si utapigwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tangu siku hyo sijawahi ungama ni zaidi ya miaka nane

Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?

Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi

Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo

Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
 
🤣🤣🤣 nmechekaaaaa siku hz naungama mwenyewe aisee mambo ya kwenda kushusha brand huko sitaki🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmechekaaaaa siku hz naungama mwenyewe aisee mambo ya kwenda kushusha brand huko sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bora umalizane na Mungu pekeako tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?

Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi

Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo

Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
🤣🤣🤣
 
Wanawake navyo wajua , hata ukiwa unakaribia kufa mzee kabisa asiye weza kusimamisha, kama mawe yapo kwa huyo kikongwe, Hakika hawezi kataa kuolewa na huyo mzee

Vijana tafuteni akili na hela hatakama ni vichenchi chenchi.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa tutaelewana
Padri alinichamba yule hapo sijamtajia kwamba nilizini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niliwaza sijui wale wanaofanya abortion wanaungama vipi hadi waeleweke?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kwakweli [emoji1787][emoji1787]kama nakuona ulivoondoka huku unasonya[emoji23][emoji23]

Nilimmind kinoma afu akanipa sala za malipizi km agano la kale lote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
One of my friends ilimkuta katoto kalijua kumpenda na kumspoil sana
Sasa my friend yupi on early 30
Siku anakuja kujua mpnz wake Ana 26
Alilia week nzima
Alikuwa na hamu tu ya kulia, 4 yrs ndio nini sasa
 
Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?

Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi

Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo

Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
Chai 🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake navyo wajua , hata ukiwa unakaribia kufa mzee kabisa asiye weza kusimamisha, kama mawe yapo kwa huyo kikongwe, Hakika hawezi kataa kuolewa na huyo mzee

Vijana tafuteni akili na hela hatakama ni vichenchi chenchi.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Lyatonga Mrema [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom