Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kuna binti kaolewa na mwanaume kamzidi 30 years okus kisa pesa.namuonea sana huruma maana mwanaume ni spina mkononi. Yaani ana stress kama zote. Sasa hivi anaanza kuona jamaa ni msumbufu.
Hapo target ni maokoto mkuu mapenzi yalishazikwa... Na akiwa Spana mkononi ni furaha kwa binti..... Hapo ni kuweka nyaraka vizuri kwa majina kabla hawajakaa chini ya turubai/tent
 
Mimi nadhani ni suala la mtazamo tu.

Sioni shida mm kuoa au kuishi na dada aliyenizidi umri. Kinachomatter ni akili ya muhusika. Kujitambua, Heshima, masikilizano, nidhamu na bidii ya kutafuta maisha ndo vitu muhimu.

Sababu Kuna ambao wameolewa/ kuoa na waliowazidi umri Ila tunashuhudia vituko Tu kila siku ugomvi.

Cha muhimu ni kumuelewa mwenzio Mambo ya umri hayana maana sababu mnaweza kusimama mbele za watu na isionekane tofauti ya umri wenu. Zaidi ni nyinyi wenyewe ndo mnajua.

Kwaiyo kwangu mm ni Sawa Tu na hata Kwa wale ambao wanaona sio sawa ni Sawa Tu. Hatuwezi kuwa na mitazamo inayolingana Kwa kila kitu.

Tofauti za mitazamo ndo inayofanya dunia iendelee kuwepo.
Sijui nakufananisha[emoji848]
 
Hapo target ni maokoto mkuu mapenzi yalishazikwa... Na akiwa Spana mkononi ni furaha kwa binti..... Hapo ni kuweka nyaraka vizuri kwa majina kabla hawajakaa chini ya turubai/tent
Spana mkononi ndo nini?
 
Back
Top Bottom