Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

Bora wewe, mimi ananifahamu na kiongozi kanisani. Nikasema nimezini wee aliweka rozali pembeni akaniuliza, umezini mara ngapi?

Niliona aibu ikabidi nipunguze idadi

Nikamwambia mara 2, akanikatilia we muongo unaongeza dhambi nyingine kusema uongo

Nikamwambia mara 4 napo akagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ss hivi namkwepa kwenye kuungama, namtafuta asiyenifahamu
[emoji23]
 
Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.

Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama kumkwepa kadri niwezavyo.

Niliwahi kumpata binti mmoja kwa kumdanganya umri, ila ilinitokea puani vibaya mno.

Lakini hivi karibuni nimeanza kuona kama najitesa sana kwa kuzuia hisia zangu. Nataka sasa nijaribu bahati yangu.

Swali kwenu wadada, je unaweza kua na mwanaume uliyemzidi umri, tuseme kuanzia mwaka 1 hadi miaka 10?

Unalichukuliaje swala hili? haiwezekani kabisa au ni ushamba wangu tu?

Nahitaji mawazo yenu dada zangu na shangazi zangu.

NB: wanaume pia mnaruhusiwa kuchangia kama una cha muhimu au ushauri.

To yeye
Leejay49
Demi
Aaliyyah
Kelsea
Lenie
Depal
Lovie Lady
Darlin
Ms eyes
Dahan
cocastic
Cute Wife
Bushmamy
Joanah
Joannah
Dejane
Palina
Kapeace
Cienna
Tinsley
Bantu Lady
Mimi kwa upande wangu BIG NO kudate na mtu niliyemzidi,mara nyingi huwa wanagubu,hata ukimkanyaga hata kwa bahati mbaya anajua sababu wewe ni mkubwa [emoji28] NB:Napenda mwanaume anizidi kila kitu.
 
Yaani mimi niwe na kavulana ka 30s Yr? Ohh nope. Labda nikaajiri kachekeshaji kangu
kuna wadada wawili nilikuwa nafanya nao kazi, mmoja 34, mwingine 30, walikuwa wanaongea kauli hizi hizi ila baada ya muda wote nimetikisa nyavu.

conclusion; Mwanamke huwa hasikilizwi, anachoongea sio anachomaanisha. Mwanaume ni mwanaume tu, hata uwe na miaka 10 ukiwekewa mpira unatikisa.
 
Mimi kwa upande wangu BIG NO kudate na mtu niliyemzidi,mara nyingi huwa wanagubu,hata ukimkanyaga hata kwa bahati mbaya anajua sababu wewe ni mkubwa [emoji28] NB:Napenda mwanaume anizidi kila kitu.
Mwanaume akuzidi kila kitu, si ndio? na asikusaliti bcoz you're an angel.
 
Back
Top Bottom