LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
mbona mnatoleana povu members maarufu, kulikoni?Wewe kiazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona mnatoleana povu members maarufu, kulikoni?Wewe kiazi
Hiyo ni kawaida walifanya kwa Mwalimu, Mkapa hata Magu. Ni utaduni wa kawaida tu.Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba
USSR
Nimeshangazwa sans Kwani na wewe unakufaga jamaa kama umeamua kuzikwa ina maana umeamua kuzikwa ukiwa haiMimi nimezaliwa mjini na nitazikwa mjini , vijiji hata siendagi maana sina uhusiano napo .
Unataka kuniambia ni meja General makame mnalihinga aliyekawa mkuu wa jkt?Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba
USSR
Acha kukuza mambo wewe dogo hivi kiapo cha kifo kipoje kwa akili yako? Jeshi ni sehemu yenye maslahi sana ndio maana watu wanagombania mno kuingiaMtu amekula kiapo Cha kifo atakumbuka kujenga kwao au kutibu kwanza msongo wa mawazo wa kiapo hicho Kwa totozi na gambe!!?
Kuna mambo mengine serikali iangalie namna ya kuwajengea Hawa jamaa nyumba huko makwao aiseh!
Mbona wanajeshi hawapendi watoto wao wawe wanajeshi kama ni pazuri huko!?Acha kukuza mambo wewe dogo hivi kiapo cha kifo kipoje kwa akili yako? Jeshi ni sehemu yenye maslahi sana ndio maana watu wanagombania mno kuingia
Awapi sio kweli mimi natokea katika ukoo ambao wengi ni wanajeshi kwahiyo ninachokueleza nakijua....nitajie hatari iliyopo jeshini unayoijua weweMbona wanajeshi hawapendi watoto wao wawe wanajeshi kama ni pazuri huko!?
Kama unamuongelea mej.General Kamazima kipindi hicho?Kuna mkuu mmoja Maj Gen mmoja hivi ilibidi SUMA JKT watumwe kwao kwanza kuweka hata rangi kwenye kuta zilizo katika katika huko kwa babake ndio akazikwe hakuwa na nyumba wala chumba
USSR
Jmaa tumeona maziko hata ya Gadner kwao hakuna maajabu ila kumbuka alikuwa analipwa pesa ndefu , Tumeona wale madogo waliofia israel yule mchaga kwao ni hakuna maajabu zaidi ya matabi ya kutu .Inategemea na unavyojigamba huko mjini eti😝😝
Mkuu mbona mbagala kuna nyumba nzuri tu!Jmaa tumeona maziko hata ya Gadner kwao hakuna maajabu ila kumbuka alikuwa analipwa pesa ndefu , Tumeona wale madogo waliofia israel yule mchaga kwao ni hakuna maajabu zaidi ya matabi ya kutu .
Shemeji yangu ni Massawe alimuona sister wangu hata mahari hakutoa , kiufupi hana maajabu ....Vipo vidoe kibao hapo Gadi tv tunaona misiba ya huko kwenu hakuna maajabu labda Mengi ....Ila nyumba nyingi ni level za Mbagalaa.
Ndio namuambia zipo nyingi tu tena , kwa vile mbagala ni kubwa ....Mfano nyumba kama ya kina Gadner ina maajabu gani kma uliona kweny msiba , zipo nyingi tu hata ukichukua video utaona ....Hizo hekalu kama umefika Mbweni utaona za huko migombani ni za kawaida sana .Mkuu mbona mbagala kuna nyumba nzuri tu!
Aaah hapo nimekuelewaNdio namuambia zipo nyingi tu tena , kwa vile mbagala ni kubwa ....Mfano nyumba kama ya kina Gadner ina maajabu gani kma uliona kweny msiba , zipo nyingi tu hata ukichukua video utaona ....Hizo hekalu kama umefika Mbweni utaona za huko migombani ni za kawaida sana .
Wapo watu kama waha wamejenga hapa na wanazikwa hapa , ishu ya kujenga mtu popote pale .
Tatizo watu wanajimwambafai mijini wanasahau hata kuwatengenezea mazingira mazuri wazazi vijijini. Msiba mmoja ilibidi wacheleweshe kumsafirisha baba yao ili wajenge japo choo, wakidai kuna jamaa wapo nje ya nchi wanasubiriwa. Siku ya kuzika wasindikizaji wanashangaa nyumba ni chakavu kweli, lakini choo kipyaaaa. Baba wa watu alijinyima kweli akasomesha watoto na wote wana maisha mazuri, kujidai kwa sana, wanangu nijengeeni sasa na mimi... wanaweka tu mikakati hadi aka rip. Mimi hawa wakisengenywa sawa tu.Siku hizi watu hawaendi misibani kuomboleza bali wanaenda kuandika na kuchora mazingira ili wapate la kuongea
Hii uliongea ni point sana , nyumba nyingi ni za kizamani ....Hata mzee wangu ana nyumba Mtongaji ilikuwa inabamba miaka ya 2010 kurudi nyuma ila sasa ni ya kizamani hata mtaa ushakuwa hovyo .Wapole sana, sio mbaya ila watu wasisahau makwao bwana kama wana vijiji , nb sio nyie wa mijini
, Dah kwa huyo alofia Israel ni jirani kabisa dk 20, wale wazazi walijenga zamani hzo sasa zmechakaa wanawe wajenge zao upya ila ndio hivyo tena 🙌😁
Nyumba za Mbagala zpoje maana hata dar siijui labda kwa picha
Sio kila kinacho andikwa hapa kimetokea kwa muhusikaKwanini mkiwa huku mjini mnaigiza maisha Na kujifanya ni wa bei mbaya ....mama yako umeshindwa kumnunulia kitanda Na godoro zuri,?
Hilo ni kweli mkuu kuna watu wakifika mjini wanajiona wao ndo wao,wanawazid had wenyeji wa mjiTatizo watu wanajimwambafai mijini wanasahau hata kuwatengenezea mazingira mazuri wazazi vijijini. Msiba mmoja ilibidi wacheleweshe kumsafirisha baba yao ili wajenge japo choo, wakidai kuna jamaa wapo nje ya nchi wanasubiriwa. Siku ya kuzika wasindikizaji wanashangaa nyumba ni chakavu kweli, lakini choo kipyaaaa. Baba wa watu alijinyima kweli akasomesha watoto na wote wana maisha mazuri, kujidai kwa sana, wanangu nijengeeni sasa na mimi... wanaweka tu mikakati hadi aka rip. Mimi hawa wakisengenywa sawa tu.