Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Probox kalivyo kadogo kuosha unachanganya na vyombo!

Halafu kubadili tairi unafanya kunyanyua na mkono mmoja unapachika tairi, unapoendesha vile kibini ilivyo fupi ukiwa mrefu sana inabidi upinde shingo au utoe kichwa nje ili kisiguse kibin,

Kiufupi probox haina stress ingawa taili na rim zake ni nyembamba sana kama za spea taili!
NI GARI NZURI ACTUALLY
Shukrani chief
Nitakuwa nakafanyia service mwenyewe[emoji3]
 
Kankonko to nyakanazi, kakonko to kibondo, kibondo to mvugwe, mvungwe to makere, makere to kasulu bado kule manyovu...!! Shughuli yke n hatari hzo njia ukinunua haice utalia
Nahisi hii mashine imekaa sana kimkakati
Huwezi shinda njaa[emoji16]
 
Back
Top Bottom