[emoji23][emoji23]Mkuu usisahau ikianza kuchoka kuileta huku tarime zinaitwa mchomoko Zina bebaa abiria hata kumi na tano kwenye siti ya mbele wanakaa wanna dereva anakalia tako mojaa....njia shirati au sirari au nyamongo
Absolutely..Yaani hapo kwenye Probox mjampani aliwaza two in one. Aliunganisha mawazo ya gari mbili na kuziweka kwenye gari moja. Alichukua Kirikuu+IST akapata Probox.
Shukrani MkuuGari ya kazi hiyo na funcargo hutajutia ukinunua hizo gari maana ni roho ya paka
Nilikuwa naipenda sana hiyo gari kipindi sina pesa, na mara ya kwanza kuiona ilikuwa kipindi nakaa Nairobi, nadhani Tz zilikuwa bado kufika.Wakuu habarini,hongereni na poleni kwa harakati + kuelekea kuimalizia wiki.
Wakuu gari hii nimeisikia ni nzuri kwa harakati za hapa na pale haswa kwenye miradi midogo midogo(ufugaji + kilimo) pamoja na kubebea mahitaji ya home.
Hivyo sasa wakuu naombeni kupata ufafanuzi kupitia kwenu mkiwa kama wataalamu katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu
4. Comfortability kwenye lami na rough roads
5. Service
NAWASILISHA.
View attachment 1702224
Ahsante ChiefMafuta ya tisin elfu unatoka tanga unafika chuga na kugeukat probox ni habari ingine ikikolea mwendo nikama tiara mwaka wa 4 huu nimebadili tairi na oil kila ikiisha tu,na ripea za kawaidatu
shukraniSiti zake za Kati ziko vizuri tofauti na pro box za kawaida pia stability yake iko vizuri Sana na limekaa kisasa zaidi
[emoji23][emoji23]Ni Kweli Kigoma Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda Manyovu, Kasulu Kwenda Makele
Serengeti Kwenda Tarime, Utakuta Zinamwaga Moto Rough Road Kama Mgeni Ukiifuata Unaangusha Gari
Kweli BossKuna Mwl wetu pale Dit Mwl Singo Mola amrehemu alikua anapenda sana hizo gari, miaka yake yote hiyo ndo gari yake sikujua uzuri wake leo ndo nimejua
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sawa Boss..Probox ndio gari yangu ya kwanza,nilitumia kwa miaka miwili nikaiuza bila kutarajia kutokana na ushawishi wa niliyemuuzia,mpaka leo naitamani gari ile.Na nitainunua tena.
Shukrani ChiefGari zetu Tarime Nyamongo hakuna stress full burudani.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Hiyo gari hata ukibeba mrungi askari wanaokufukuza wajipange kwanza
[emoji16][emoji23][emoji23]Kama ni mrefu sana kata kibini ongezea bodi juu kidogo ili kichwa kitoshe au kubana bajeti unaweza toboa tundu kichwa kitoke inje halafu unavalia na helmenti wakati unaporndesha!
Vipi boss saivi huipendi?Nilikuwa naipenda sana hiyo gari kipindi sina pesa, na mara ya kwanza kuiona ilikuwa kipindi nakaa Nairobi, nadhani Tz zilikuwa bado kufika.
Mimi wamenikatisha tamaa,kwa jinsi kalivyo mwagiwa sifa nilishawishika...naambiwa ni kafupi Kama ni tall Kama mm ,naambiwa itabidi niendeshe nimepinda mgongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23]
Vipi Mkuu, kwamba ni kama zile racing car???
Unanishawishi ujue.
Hv kat ya 1.3 cc na 1.5 cc ipi inafaa kwa safari ndefu... mfno dar to mwanzaGari nzuri ila jitahid utafute Toyota succeed ni muundo huo huo wa probox ila yenyewe ni pana Kwa ndani na imara zaidi.
1.5 kumbuka gar itakuwa on masaa 14-16 bila kuzima, ingawa hata 1.3 inafika freshHv kat ya 1.3 cc na 1.5 cc ipi inafaa kwa safari ndefu... mfno dar to mwanza
Endelea kunyatiaNikae nipate moja mbili tatu
Google hajawahi danganyaNini tofauti ya PROBOX VAN na PROBOX WAGON?
Kanza hongera kwa kuwaza kununua Probox.kama nin mtu wa miradi hutajuta kwasababu nyuma ina nafasi ya kutosha kama pickup pindi unapokunja viti.Ina ulaji mzuri wa mafuta kama IST kwani hazipishani ukubwa wa engine.Ikiwa na mzigo utaipenda inavyokamata barabara.Spea zipo za kutosha na kwa bei nafuu.kifupi Ni gari nzuri kwa mtafutaji