Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Hivi nikichukua hii nikaifanya kama daladala kwa movement za mjini kati si napata kipato kizuri tu waungwana?
 
Ahsante.
Taarifa njema hii
 
Mafuta ya tisin elfu unatoka tanga unafika chuga na kugeukat probox ni habari ingine ikikolea mwendo nikama tiara mwaka wa 4 huu nimebadili tairi na oil kila ikiisha tu,na ripea za kawaidatu
Kabadilishe plugs pia, kwa gari ya 1500cc bado mafuta ni mengi uliotumia.
 
Kuna jamaa yetu mmoja anayo used anaiuza lakin bei imenichosha.

Mwaka umeisha hajauza[emoji23].
Nlikuwa naichukulia poa kumbe ni Laana hii gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…