Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Kwenu wataalamu, ni upi uzuri wa gari hii aina ya Probox?

Hivi nikichukua hii nikaifanya kama daladala kwa movement za mjini kati si napata kipato kizuri tu waungwana?
 
Wengi mnaielezea tu bila hata kuwambia wafau bei za hiyo gar.

Mnaotaka kujua bei , from Japan had mkonon mwako kwa sasa andaa 13m au 12.5.

Kitaa unaweza pata hiyo gar kuanzia 7m had 10m ambayo iko katika Hali nzur tu ,ila ushaur nunua from Japan ndio utaifaid vzr
Ahsante.
Taarifa njema hii
 
Mafuta ya tisin elfu unatoka tanga unafika chuga na kugeukat probox ni habari ingine ikikolea mwendo nikama tiara mwaka wa 4 huu nimebadili tairi na oil kila ikiisha tu,na ripea za kawaidatu
Kabadilishe plugs pia, kwa gari ya 1500cc bado mafuta ni mengi uliotumia.
 
Wengi mnaielezea tu bila hata kuwambia wafau bei za hiyo gar.

Mnaotaka kujua bei , from Japan had mkonon mwako kwa sasa andaa 13m au 12.5.

Kitaa unaweza pata hiyo gar kuanzia 7m had 10m ambayo iko katika Hali nzur tu ,ila ushaur nunua from Japan ndio utaifaid vzr
Kuna jamaa yetu mmoja anayo used anaiuza lakin bei imenichosha.

Mwaka umeisha hajauza[emoji23].
Nlikuwa naichukulia poa kumbe ni Laana hii gari.
 
Back
Top Bottom