Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jul 7, 2023 #1 Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
M Mohamed Abubakar JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 984 Reaction score 1,179 Jul 7, 2023 #2 Ngoja wageni wa jiji wapigania bandari waje.