Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

Kwenye account yangu ya Ajira portal Application zangu 2 tofauti zina rangi tofauti.

Ya tatu itakuwa na rangi ya ile ya kwanza ya nne itakuwa na rangi ya hyo ya pili. Ni rangi ya table tu.🙄
 
Habari za leo waungwana wa JF,nimeomba kazi ya Ualimu wa somo la Kingereza(English) na Uraia(Civics) ila naona kwenye ile list ya kazi nilizoomba zimepigiwa rangi tofauti kama unavyoona kwenye Screen shot,hii ina maanisha nini?
Kwanza naona hapo kwa chini not shortlisted ebu tupe habari shida ni nini?? Mwalimu
 
Kwenye bootstrap css kuna class inaitwa strip-table... Ni ku style table katika mtindo wa pundamilia ili msoma data uweze kuzisoma kwa usahihi!

Mdau hapo juu ameongelea hili, kwamba hiyo ni style ya table tu, visikuchanganye
Asante sana.
 
Mleta mada ameamua kuja na id mpya ili mpunguze kumkosoa, maana angekuja na ile id yake ya chawa wa CCM au kamanda wa CDM pangekuwa hapatoshi humu.
 
Mleta mada ameamua kuja na id mpya ili mpunguze kumkosoa, maana angekuja na ile id yake ya chawa wa CCM au kamanda wa CDM pangekuwa hapatoshi humu.
Lini nimekuja na Id ya Siasa?
Au unanifananisha ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom