Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
That is so real. Your main concern should be "The customer"Hua nasikia sana huu msemo 'focus on the customer, not the competition' nadhani bdo unaingia hapa
Baby face bana.Hayo yanauzwa mpka 500, kuna siku nimepewa hayo maji nikadhani muuzaji kakosea!
Sisi tunanunua kilimanjaro lita 1 kwa sh 500.Juzi nimetoa 1000Tsh dukani wanipe maji
Nikashangaa napewa kilimanjaro 1 litre na chenji 300
Hujawahi kunywa maji ya Kilimanjaro yanayouzwa Nyanda za Juu Kusini,utatamani ni kheri ungepewa maji yaliyochotwa mtoni.Kilicho muumiza mengi alijisahau wenzake wakatumia mwanya huo lakini maji ya Kilimanjaro mpaka sasa bado ni bora zaidi pamoja na maji ya afya maji mengi yana chumvi akijipanga akashusha bei mbona bado jina analo tu mtu akikaa sokoni kwa muda mrefu kumshusha iko kazi labda afanye uzembe
Zina muonekano wa kike zaidi yaani chupa za vipodozi.Ila chupa za hili water zinavutia sana kwenye macho. Kamfanya mmiliki wa maji ya Uhai kashusha bei hakika biashara kuna kupanda na kushuka.
Sasa ni wakati wa Hill water
Mhh!! Haya maji si ziku zote bei ya 1.5Lt ni elf1, sio ajabu 1lt kuwa 700. Ukiwa bar na hotel ndio inabadilikaJuzi nimetoa 1000Tsh dukani wanipe maji
Nikashangaa napewa kilimanjaro 1 litre na chenji 300😂
Kutoka buku 2 hadi 700!!
Nadhani ni mtu na mtu. Mf mimi bila BM/ kidia one, sisafiri. Kama ni ulazima sanaaaa nazama Extra Luxury..TILISHO na yeye hakuogopa.. kaja sokoni mpya kwa mbinu ya wahudumu mabinti wapenda social media.. mwisho wa siku kaiteka njia bus zake kila siku zinajaa
Huyo jamaa nahisi hajawahi kuonja maji ya Kilimanjaro,ndio maji yalikuwa mabaya sokoni,chumvi nyingi. Kuna muda ilifika nilikuwa nikiagiza maji naomba yeyote isipokuwa tu Kilimanjaro.Hujawahi kunywa maji ya Kilimanjaro yanayouzwa Nyanda za Juu Kusini,utatamani ni kheri ungepewa maji yaliyochotwa mtoni.
Mkoa gani? Nadhani haya maji yana mkoa na mkoa. Ya Arusha mbona mazuri tu, maana hata dogo alikuja akayakuta. Alistaajabu kwamba hayafanani na yq DarHuyo jamaa nahisi hajawahi kuonja maji ya Kilimanjaro,ndio maji yalikuwa mabaya sokoni,chumvi nyingi. Kuna muda ilifika nilikuwa nikiagiza maji naomba yeyote isipokuwa tu Kilimanjaro.
Nimekaa Dar na Mwanza,kama huyo dogo amekunywa hivi karibuni inawezekana wamebadili,sababu wiki mbili zilizopita na mimi nilikuwa Sehemu moja hawauzi maji zaidi ya Kilimanjaro,nilivyokunywa ile chumvi sikuisikia kabisa,nilibaki najiuliza.Mkoa gani? Nadhani haya maji yana mkoa na mkoa. Ya Arusha mbona mazuri tu, maana hata dogo alikuja akayakuta. Alistaajabu kwamba hayafanani na yq Dar
Juzi nimetoa 1000Tsh dukani wanipe maji
Nikashangaa napewa kilimanjaro 1 litre na chenji 300😂
Kutoka buku 2 hadi 700!!
Juzi nimetoa 1000Tsh dukani wanipe maji
Nikashangaa napewa kilimanjaro 1 litre na chenji 300😂
Kutoka buku 2 hadi 700!!
Hata Dew Drop naye kajitahidi kuteka soko la baadhi ya mikoa ya nyanda za juu kusini, Mbeya nako ni maarufu na pendwa, kama ilivyo Hill Water kwa Dar tu wana chupa nzuri sanaSisi wazee wa Dew Drop kutoka Mjini Swax huu Uzi hautuhusu.
Hilo chawa limempiku chawa gani mkuuDotto magari
Baba levoHilo chawa limempiku chawa gani mkuu
hiyo brand ilishauzwa kitambo kwa sasa inatengenezwa dar pale buguruni , kimsingi yalikuwa maji ya kueleweka sana na bardiiii kama ya chem chem ila kwa kutengenezewa dar tayari wameshalikoroga, maana hata kilimanjaro yenye chumvi ni yale ya dar wanayopaki pale mikocheni pamoja na DasaniSisi wazee wa Dew Drop kutoka Mjini Swax huu Uzi hautuhusu.