Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Wakuu habari ya jumapili
Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani
Hali mbaya kitaa
Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa mitaa karibia yote ya jiji la Mwanza na vitongoji vyake.