Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya, ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja: shadow of a tear na nyingine nyingi.

adkin.jpeg
 
Ah wewe kuna Jason statham

Sent using Jamii Forums mobile app
Jason ni mkali pia, lakini movie zake nyingi huwa kama za upande mmoja nikimaanisha huwa hapati misuksuko mikubwa, yaani yeye sehemu kubwa ni mbondaji hasa, Ila Adkins, misukosuko anayopata ni mikubwa na come back yake ni hatari pia.
 
Yule ni mzuri tuu kwa fatality za round kick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom