Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Yule jamaa (BOYKA) anachapa mkono wa kibabe sana

Kizibo

Adjustments.jpg




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sasa hapa kwa mkono anasimama statham huyu rock tunampa break kidogo japo action za statham usipokua makini unaweza kuhisi unacheki action kutoka kwa john sins
FB_IMG_15827246403798690.jpg


Eh bana huyu mchizi ni miongoni mwa actors wanaocheza movies katika mazingira hatarishi
 
Hapa scott alikua akipelekewa vikombe vile vya fasta fasta

Akaona wee! usintanie yani nipigwe nazi za uso kisa movie ilimradi tu niwafurahishe wadau ambao watakua wanaangalia movie wakiwa wamestarehe tu kwenye viti virefu

Akaamua azibe uso wapige za kichwa
Screenshot_2020-02-26-20-17-44.png
 
Back
Top Bottom