Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja: shadow of a tear na nyingine nyingi.
Nakubaliana na Wewe

100%
2020-02-26%2020.38.27.jpeg
 
Yaani katika jamaa wanaopiga kisawasa huyu mwamba Michael Jai White...Kyokushin, Taekwondo, Jujutsu, Shotokan Tang Soo Do, Chinese martial arts NAMKUBALI SANA!
 
Attachments

  • wt.jpg
    wt.jpg
    121.3 KB · Views: 2
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja: shadow of a tear na nyingine nyingi.
Kapicha kangependeza zaidi tumjue ambao hatumjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michael J white ni mkali kuliko Scott kwenye mapigano ila tatizo J white kalizika yaani Scottadkins NJ kama Diamond platinum anajua vipi aburudishe watu mapigano yake yanayengenezwa kwa stant za kibabe zinazoburudisha.

Sikila mapigano yanaburudisha mfano Jetlee mapigano yake hayaburudishi ila Donyen kitu kama FLASHPOINT kuna mapigano ambayo watu walikaa wakaamua humu tuwape watu burudani hasa.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom