Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Scott Adkins is the most complete fighter.

Ukiangalia undisputed 2 unaweza kuona jinsi jamaa alivyoonesha uwezo mkubwa wa mapambano.

Huyu jamaa kwa sasa naweza mlinganisha na don yen ,

Hao sijui wakina Michael jay white, Jason ,the rock .wanapigana kizee, hawana utofauti na akina van damme


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilder kapigwa kama mtoto aisee. Nikiflashback zile mbwembwe zake [emoji23][emoji23][emoji23] kuingia na vazi kama Monster.
Hahaha Jana nimetoka kuangalia tena marudio...Amechapika ila bado anamlaumu Refa na kocha kwanini wamemaliza pambano...

Wamuache Siku Nyingine afie kwenye Ring

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Ip man 4 ya Donnie yen Scott Adkins yupo Tena kacheza Kama adui angalie ule mkono aliouchapa dhidi ya Donnie yen
Donnie Yen anaupiga mwingi sana kuliko huyo jamaa.pia movie zake zinatabirika unajua itaanzaje na kuishaje sio mbunifu.nikiangalia muvi na kukuta yeye ndio star natoa na kutafuta nyingine sijatokea kumkubali.ila kwa mkono hakuna kama Donnie Yen angalia Ip man 3 wakati anablock ngumi za Mike Iron Tyson mpaka vidole vikamuuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom