Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kwenye filamu za fight hakuna kama Scott Adkins

Kuna mjuba mwengine anaitwa Michael Jai White naye ni balaa na nusu...
Scot Adkins...Iam the most completed fighter in the world!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆😆😆 Michael Jai White yule ni Mchafu wa Tai Chii acha kabisa, napenda mapigo yake sana jamaa hasa kwenye ile Blood N Bones!

Anakupiga kama hataki yani, kwa utulivu wa hali ya juu. Akikuvunjia kata 2/3 tayari unakuwa ushatepeta 🤣🤣🤣
 
Viungo vyote vinakosa ushirikiano kama vya mjomba wilder
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Michael Jai White yule ni Mchafu wa Tai Chii acha kabisa, napenda mapigo yake sana jamaa hasa kwenye ile Blood N Bones!

Anakupiga kama hataki yani, kwa utulivu wa hali ya juu. Akikuvunjia kata 2/3 tayari unakuwa ushatepeta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Michael Jai White yule ni Mchafu wa Tai Chii acha kabisa, napenda mapigo yake sana jamaa hasa kwenye ile Blood N Bones!

Anakupiga kama hataki yani, kwa utulivu wa hali ya juu. Akikuvunjia kata 2/3 tayari unakuwa ushatepeta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama sikosei undisputed 2 scott alikaa kwa mwamba jai white
 
Jason bourne?? Yule ni mkali wakutumia zana,mapigano ya ki spy spy kama kina jes bond,tom cruise huwezi kufananisha na mapigano ya ki martial arts kama ya kina scott,donnie,tonny ja,n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila scot naye no mkali. Nafkiri mara ya kwanza namuona ni ktk Special Forces US wanaenda USSR baada ya nchi moja kupinduliwa then Scot anakuwepo kama spy wa UK anayewasaisia US.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom