Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.

Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys?

Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5?

Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
 
Komaa na 30 yako uone kama utampata mtu!

Hata elfu 5 mshukuru Mungu! Tunakoelea window itakuwa bure! Mtabakia kuuza ant-virus za mchongo!
 
Window Kuna madogo wameishia la Saba ,wanaweka ata kwa 2000 ,sio 2010 Sasa hivi,wajiongeze kwenye Mambo makubwa,,sio kueka sijui window
 
Gharama ya Huduma huwa inaendana na uhitaji na upatikanaji wa huduma husika.

Kupiga window siku hizi sio huduma yenye uhitaji mkubwa(Sio Big Deal). Hii ni kutokana na uzoefu wa watu kwenye matumizi ya vifaa vya kielectronic.

Mtu anaweza kuangalia tutorial moja tu ya dakika 20 na akaweza kupiga window yeye mwenyewe
 
Endelea kusubiri laki mbili utapata wateja wengi.
 
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.

Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys ?

Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5 ?

ni wazi hatambui hata uzito wa cv yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
Du. Hivi hizi mishe kumbe bado zipo! Mwaka 2005 ilikuwa ndiyo zangu. Ni torrent gani nilikuwa siijui? Nilikuwa na kila aina ya software! Kipindi hicho hata navigator za bure zilizopo kwenye simu sasa hivi zilikuwa zinauzwa. Nakumbuka nili-install Garmin, kipindi hicho iko moto.
 
njia pekee ilyobakia kwa ma IT kujipatia kipato ni UDUKUZI TU....#KAZIHAKUNA
 
Sasaiv kila mtu anajua vizuri unayetaka kumpigia kwa ghali naye anajua ni kwamba hana setup bora hiyo elfu 30 akajiunge bundle a download
 
Kupiga windows sio issue siku hizi ,sija soma It lakini naweza kupiga windows na kufanya vitu baadhi ambavyo graduates wa IT bongo wana tamba navyo
 
Binafsi sijasoma IT ila napiga windows kiroho safi kabisa, sasa itategemea ni aina gani ya window.
Mfano zile za aluminum hua nataka nipewe 25k per window.
Window za chuma nataka 20k per window.
Window za mbao nafanya bure mana najua mwenye nyumba ni choka mbaya hvy sitaki laana zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Expert wa Computer Engineering bado anahangaika na vitu vidogo namna hiyo. Waachieni watoto wa Amazon College hizo kazi ndogo ndogo. Kwanza siku hizi waliowengi masuala madogo kama hayo wanafanya wenyewe.
 
Binafsi sijasoma IT ila napiga windows kiroho safi kabisa, sasa itategemea ni aina gani ya window.
Mfano zile za aluminum hua nataka nipewe 25k per window.
Window za chuma nataka 20k per window.
Window za mbao nafanya bure mana najua mwenye nyumba ni choka mbaya hvy sitaki laana zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Ni window za magari kaka.. power window
 
Kupiga window sio ujuzi unaohitaji mtu alieenda shule. Kiujumla hata wewe ukitoa pesa ili upigiwe windows jua umeliwa. Windows zenyewe ni hizi copy za pirrate ambazo hazina manufaa yoyote.

Window ni gharama kuinunua ila hizi window za kudownload inafaa upigiwe bure kabisa. Yani nisawa na kumlipa mtu pesa ili airestore simu Yako🤣🤣🤣 au umlipe mtu pesa ili akuwekee Whatsapp kwenye simu Yako🤣.

Sio Kila anaejua kutumia computer ni IT. Taaluma ya IT ni Pana sana​
 
Back
Top Bottom