Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Duh sasa mbona mtoa mada hayupo specific kuelezea ni aina gani ya madirishaNi window za magari kaka.. power window
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh sasa mbona mtoa mada hayupo specific kuelezea ni aina gani ya madirishaNi window za magari kaka.. power window
Kujua kupiga window haihitaji iwe umesoma IT ,hata wale walioishia la saba wanaweza vizuri tu.Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.
Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys?
Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5?
Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.