sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Du. Hivi hizi mishe kumbe bado zipo! Mwaka 2005 ilikuwa ndiyo zangu. Ni torrent gani nilikuwa siijui? Nilikuwa na kila aina ya software! Kipindi hicho hata navigator za bure zilizopo kwenye simu sasa hivi zilikuwa zinauzwa. Nakumbuka nili-install Garmin, kipindi hicho iko moto.Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.
Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys ?
Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5 ?
ni wazi hatambui hata uzito wa cv yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
Ni window za magari kaka.. power windowBinafsi sijasoma IT ila napiga windows kiroho safi kabisa, sasa itategemea ni aina gani ya window.
Mfano zile za aluminum hua nataka nipewe 25k per window.
Window za chuma nataka 20k per window.
Window za mbao nafanya bure mana najua mwenye nyumba ni choka mbaya hvy sitaki laana zisizokuwa na kichwa wala miguu.