Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

Unashangaa Kila mtu anajua kupiga window sasa...ndio maana mtu anakuja kupoteza file analia kama mbuzi..wazungu hawana papara kama weusi wanajua kuheshimu fani za watu hawataki mtu wakukisia kukisia ingekuwa hii dunia weusi wanamilik technolojia dunia ingekuwa kama kabul/Afghanistan
 
Kujua kupiga window haihitaji iwe umesoma IT ,hata wale walioishia la saba wanaweza vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…