Kwenye hii Dunia usipojua unachokitaka lazima uwe malaya

Kwenye hii Dunia usipojua unachokitaka lazima uwe malaya

Hamjui siri ya kina Ronaldo na Messi kubaki njia kuu na mwenza mmoja?

Hamjui kwanini brilliant minds wote huchagua mwanamke mmoja?

Sio kwamba hawana hamu, no they're disciplined enough to know other women are just distractions.

Sio sheria lakini
 
Most successful people ndoa zao zina utulivu sana , ukiwa una ruka ruka na slay Queens au mwanamke kuvizia sponsors mwisho wako hauwi mzuri
 
Unaenda Hotelini,unaangalia MENU kisha unaagiza chakula unachokipenda kisha unaletewa chakula chako,

Halafu meza ya jirani yako,nae anaagiza chakula chake,akiletewa chakula chake,wewe unaona kua chakula alichoagiza jirani yako hapo ni kizuri kuliko ulichoagiza wewe!

Hii hali ndio hutokea pale unaposhindwa kuconcentrate na kuridhika na chaguo lako,

Huu ni mfano wa hii mada.
 
Back
Top Bottom