Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Mwambie atapata tabu sana atakuwa chakula cha wahuni mwanzo mwishoHapa nipo na malaya mmoja hv
😂😂😂Mwambie atapata tabu sana atakuwa chakula cha wahuni mwanzo mwisho
wamalaya hi🤣Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo mzuri kuliko uliyenaye.
Hamtaki show kama hii kwenye arena ?haya
Most successful people ndoa zao zina utulivu sana , ukiwa una ruka ruka na slay Queens au mwanamke kuvizia sponsors mwisho wako hauwi mzuriHamjui siri ya kina Ronaldo na Messi kubaki njia kuu na mwenza mmoja?
Hamjui kwanini brilliant minds wote huchagua mwanamke mmoja?
Sio kwamba hawana hamu, no they're disciplined enough to know other women are just distractions.
Sio sheria lakini
Wengi tumekuja kulitambua hili uzeeniMost successful people ndoa zao zina utulivu sana , ukiwa una ruka ruka na slay Queens au mwanamke kuvizia sponsors mwisho wako hauwi mzuri
Acha uongo, hizi ni dhana za uongo.Hamjui siri ya kina Ronaldo na Messi kubaki njia kuu na mwenza mmoja?
Hamjui kwanini brilliant minds wote huchagua mwanamke mmoja?
Sio kwamba hawana hamu, no they're disciplined enough to know other women are just distractions.
Sio sheria lakini
FactKabisa, kiongozi ila kikubwa kua na msimamo na kuisha kwa ajili ya malengo na sio tamaa mana tamaa ndio huza hata huo umalaya na kua mtu wakutafuta mtu umtakae kila siku.