Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Mkuu jmushi, mara nyingi huwa mvivu wa kusoama makala hizi ndefu, lakini nimeona hiyo sentensi inayohusu 'demography'; halafu nikafikiri ndiyo unayoihusisha na kichwa cha habari ya mada yako.

Nataka tu nikuulize swali juu ya uhusiano huo na maamuzi yaliyofanywa na rais.

Hivi unafikiri wakati Rais Magufuli anaamua aliyoamua kuhusu jinsi ya kuikabili coronavirus wakati huo, kilichomsukuma kufanya maamuzi hayo ni hiyo 'demography' ya population yake?

Umewahi kusikia nchi yoyote iliyofanya maamuzi kuikabili coronavirus kwa kuitegemea 'demography'?

Je, taarifa za coronavirus kushambulia wazee na watu wenye matatizo zaidi ziliwahi kufanyiwa uchunguzi popote na machapisho yake yakawepo ya kuweza kuwaongoza watu wanaofanya maamuzi kuzitumia taarifa hizo (based on scientific study and publications).

Kama uamzi aliochukua Magufuli unayategemea majibu ya ndio kwa maswali hayo, basi na mimi niweke kwenye orodha ya kumpa hongera nyingi kwa uamzi wake huo.

Vinginevyo, maamzi yake hayatofautiani na mcheza kamali; tofauti pekee iliyopo ni kuwa kamali hii iliweka rehani ya maisha ya waTanzania.

Coronavirus, bado haijulikani sababu zinazosababisha pawepo na tofauti kubwa ya mashambulizi katika nchi za kiafrika, ikiwa ni pamoja na hiyo ya 'demographics.
Nina hakika sababu zitajulikana muda si mrefu. Joto/mionzi ya jua na unyevunyevu vikiwa sehemu ya sababu hizo.

Sasa kama yeye tayari alikuwa na ufahamu wa hayo yote alipofanya uamzi, basi tunaye Rais mwenye uwezo wa ajabu sana!

Mimi ningekuwa karibu na Magufuli, ningemshauri awatumie wataalam wake wa afya wafanye utafiti wa kujua bahati yetu hii inatokana na nini, ili kama ni kitu tunachoweza kuwauzia wengine, basi biashara itanoga sana!

Sijui kama kwenye maandishi yako humo umeweka mchango mkubwa wa sala zetu kwa Mungu? Kama sababu ndiyo hiyo, pia itakuwa ni faida kwetu kwa sababu tutawafundisha dunia yote jinsi ya kuwasilisha maombi kwa Mwenyezi Mungu ili ayakubali. Sio kujisalia tu kama wao wanavyofanya. Tutawafundisha.

Au ni dawa yetu ya 'kujifukiza' na tangawizi, limao..., na nini tena?
Mkuu mbona hata sijaandika ndefu? Mimi huwa ni precise straight to the point!
Anyways. Samahani nilisahau kuku tag kwasababu nina hakika kwamba tutakuwa na mawazo tofauti na hivyo kuufanya mjadala huu uwe more constructive.

Kuhusu kama Maghufuli alifikiria hivyo toka awali, sina uhakika, ndo maana nikasema nilijaribu sana kufikiria kwamba nia yake ni ipi?

Anyways, kuna hiki kipengele kuhusu research iliyofanyika kule Wuhan China.

Youth, in contrast, seems to be protective. The WHO mission reported a relatively low incidence in people under 18, who made up only 2.4% of all reported cases. In fact, through mid-January, zero children in Wuhan, the epicenter of the outbreak, had contracted Covid-19. It’s not clear whether that’s because children do not show signs of illness even if infected.

Even cases among children and teens aged 10 to 19 are rare. As of Feb. 11 there were 549 cases in that age group, 1.2% of the total, China CDC found. Only one had died.
Who is getting sick? A look at coronavirus risk by age, gender, and more
 
Napenda kusikia maoni ya tofauti, nitaendelea kuwa tag members ninaoweza kuwa tag kadiri tu navyo kwenda ili kuweza kupata maoni ya tofauti.
 
The age-related death risk probably reflects the strength, or weakness, of the respiratory system. About half of the 109 Covid-19 patients (ages 22 to 94) treated at Central Hospital of Wuhan, researchers there reported, developed acute respiratory distress syndrome (ARDS), in which fluid builds up in the small air sacs of the lungs. That restricts how much air the lungs can take in, reducing the oxygen supply to vital organs, sometimes fatally; half of the ARDS patients died, compared to 9% of patients who did not develop the syndrome.

The ARDS patients had an average age of 61, compared to an average age of 49 for those who did not develop ARDS. Elderly patients “were more likely to develop ARDS,” the researchers wrote, suggesting how age can make Covid-19 more severe and even fatal: age increases the risk that the respiratory system will basically shut down under viral assault.

Who is getting sick? A look at coronavirus risk by age, gender, and more

Detective J Mag3 Kalamu1
 
Mkuu jmushi, mara nyingi huwa mvivu wa kusoama makala hizi ndefu, lakini nimeona hiyo sentensi inayohusu 'demography'; halafu nikafikiri ndiyo unayoihusisha na kichwa cha habari ya mada yako.

Nataka tu nikuulize swali juu ya uhusiano huo na maamuzi yaliyofanywa na rais.

Hivi unafikiri wakati Rais Magufuli anaamua aliyoamua kuhusu jinsi ya kuikabili coronavirus wakati huo, kilichomsukuma kufanya maamuzi hayo ni hiyo 'demography' ya population yake?

Umewahi kusikia nchi yoyote iliyofanya maamuzi kuikabili coronavirus kwa kuitegemea 'demography'?

Je, taarifa za coronavirus kushambulia wazee na watu wenye matatizo zaidi ziliwahi kufanyiwa uchunguzi popote na machapisho yake yakawepo ya kuweza kuwaongoza watu wanaofanya maamuzi kuzitumia taarifa hizo (based on scientific study and publications).

Kama uamzi aliochukua Magufuli unayategemea majibu ya ndio kwa maswali hayo, basi na mimi niweke kwenye orodha ya kumpa hongera nyingi kwa uamzi wake huo.

Vinginevyo, maamzi yake hayatofautiani na mcheza kamali; tofauti pekee iliyopo ni kuwa kamali hii iliweka rehani ya maisha ya waTanzania.

Coronavirus, bado haijulikani sababu zinazosababisha pawepo na tofauti kubwa ya mashambulizi katika nchi za kiafrika, ikiwa ni pamoja na hiyo ya 'demographics.
Nina hakika sababu zitajulikana muda si mrefu. Joto/mionzi ya jua na unyevunyevu vikiwa sehemu ya sababu hizo.

Sasa kama yeye tayari alikuwa na ufahamu wa hayo yote alipofanya uamzi, basi tunaye Rais mwenye uwezo wa ajabu sana!

Mimi ningekuwa karibu na Magufuli, ningemshauri awatumie wataalam wake wa afya wafanye utafiti wa kujua bahati yetu hii inatokana na nini, ili kama ni kitu tunachoweza kuwauzia wengine, basi biashara itanoga sana!

Sijui kama kwenye maandishi yako humo umeweka mchango mkubwa wa sala zetu kwa Mungu? Kama sababu ndiyo hiyo, pia itakuwa ni faida kwetu kwa sababu tutawafundisha dunia yote jinsi ya kuwasilisha maombi kwa Mwenyezi Mungu ili ayakubali. Sio kujisalia tu kama wao wanavyofanya. Tutawafundisha.

Au ni dawa yetu ya 'kujifukiza' na tangawizi, limao..., na nini tena?
Hongera kwa uchambuzi mzuri!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee
Imenilazimu nikakusome 'mzimamzima.'

Jibu langu la mwanzo halijabadilika, na kwa uhakika kabisa nasema hapakuwepo na uhusiano wowote kati ya 'demographics' na maamuzi yaliyofanywa kuhusu jinsi ya kukabiliana na corona virus.

Lakini nimevutiwa zaidi na kipande hiki nilichonukuu hapo juu kuhusu 'demographics' ya Tanzania, na kutaka kusisitiza zaidi kutoitumia vizuri hiyo 'demographics' yetu nzuri sana.

Hawa vijana ndio ingekuwa dhahabu yetu mpya kabisa ya kutuingizia pato kubwa ndani ya taifa letu kupitia kwenye huu ugonjwa wa coronavirus.

Sisi ndio sasa tungekuwa tunawauzia mabeberu dawa ya kutibu na kujikinga 'mabeberu' wanaopoteza wazee wao kwa wingi.

Tungevuna tu 'antibodies' za hawa vijana wetu, na kuzi'pakeji vizuri na kuwauzia. Hapana, sitanii..., tungekuwa makini ingewezekana kuitumia fursa hii.

Wachina wametumia 'plasma' katika kutibu, na hata huko Marekani wametumia, pamoja na kwamba bado kuna utafiti juu yake unaendelea.
Tunajidharau sana tunapodhani kuwa hatuwezi kufanya jambo - tukawaamini wataalam wetu, tukawapa vifaa vinavyohitajika na wakaingia maabara wakafanya kazi yao ya kuchenjua'antibodies' hizi kutoka kwa vijana wetu na dawa ikapatikana.

Tatizo hatujiamini, viongozi wetu hawana maono, na kazi yao kubwa ni siasa tuuuu katika kila jambo, hata katika mambo yanayohusu sayansi.

Rais ambaye anajitambulisha kuwa na kisomo cha kisayansi ndiye angekuwa mbele kabisa kujenga uwezo wetu wa kuimarisha teknologia na sayansi; lakini imekuwa ni kinyume kabisa. Kwa nini?
 
Magonjwa ni ya kisarakasi, ukishaijua siri ya urembo wala hayakusumbui, tatizo la jiwe ni karika corona ni kutaka kuitumia corona kisiasa, basi, ila corona haina tofauti na ugonjwa wa ziko au Ebola sema this time wamekuja na approach nyingine ili kuwabana viongozi wabishi aina ya jiwe.

Nimekupata sawia mkuu. Inawezekana kabisa kuwa “hapakuwepo na uhusiano wa demographics na maamuzi aliyoyafanya”

Je umetumia Vigezo gani kufikia tamati hiyo ndugu Kalamu1?
 
Magonjwa ni ya kisarakasi, ukishaijua siri ya urembo wala hayakusumbui, tatizo la jiwe ni karika corona ni kutaka kuitumia corona kisiasa, basi, ila corona haina tofauti na ugonjwa wa ziko au Ebola sema this time wamekuja na approach nyingine ili kuwabana viongozi wabishi aina ya jiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu mkuu nifunguwe macho hapo kwenye “approach nyingine kuwabana viongozi wabishi aina ya jiwe”
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi
Unaongelea "virus" ambae ni "DNA" corona ni "RNA" immunity yake huwezi ipata kwa "vaccines" kama vile ambavyo HIV hana "vaccines" mpaka sasa, zimeshindikana kwa kuwa nae pia ni RNA.

RNA ni "mutant" (anajibadili badili), ukitaka usitake ni lazima ujenge kinga ya mwili wako inayojitengeneza "naturally" na inayopatikana "naturally" kwa kui "boost natural immune system" kupitia kujipatia "natural boosters" za "vitamins" kwa wingi kwa kujipatia matunda na mboga mboga vile vile kuota jua la asubuhi na kufanya mazoezi kwa wingi na kuingiliana na kukutana na watu aina nyingi, kama tunavyoishi kikawaida nje ya "lockdowns".
 
Unaongelea "virus" ambae ni "DNA" corona ni "RNA" immuniry yake huwezi ipata kwa "vaccines". Kama vile HIV hana "vaccines", mpaka sasa zimeshindikana kkwa kuwa nayo pia ni RNA.

RNA ni "mutant" (anajibadili badili), ukitaka usitaje ni lazima ujenge kinga ya mwili wako inayotengeneza "unnaturally " na inayopatikana "naturally" kwa kui "boost natural immune system" kupitia kujipatia "natural boosters" za "vitamins" kwa wingi kwa kujipatia matunda na mboga mboga vile vile kuota jua la asubuhi na kufanya mazoezi kwa wingi na kuingiliana na kukutana na watu aina nyingi, kama tunavyoishi kikawaida nje ya "lockdowns".
 
Unaongelea "virus" ambae ni "DNA" corona ni "RNA" immunity yake huwezi ipata kwa "vaccines" kama vile ambavyo HIV hana "vaccines" mpaka sasa, zimeshindikana kwa kuwa nae pia ni RNA.

RNA ni "mutant" (anajibadili badili), ukitaka usitake ni lazima ujenge kinga ya mwili wako inayojitengeneza "naturally" na inayopatikana "naturally" kwa kui "boost natural immune system" kupitia kujipatia "natural boosters" za "vitamins" kwa wingi kwa kujipatia matunda na mboga mboga vile vile kuota jua la asubuhi na kufanya mazoezi kwa wingi na kuingiliana na kukutana na watu aina nyingi, kama tunavyoishi kikawaida nje ya "lockdowns".
Vaccines zinatokana na antibodies. Cha msingi ni kufahamu kama unaweza kuupata tena zaidi ya mara moja. Yani kwamba hutengenezi antibodies.
Halafu hivi HIV viruses are not corona viruses. Lakini ni kweli kuna magonjwa ambayo hayajapatiwa chanjo hadi leo.
"The first question we do not know is 'do you get natural immunity to this disease if you have had it, for a prolonged period of time?'" Whitty said.

"Now if we don't then it doesn't make a vaccine impossible but it makes it much less likely and we simply don't know yet.
Scientists fear the hunt for a coronavirus vaccine will fail and we will all have to live with the 'constant threat' of COVID-19
 
Vaccines zinatokana na antibodies. Cha msingi ni kufahamu kama unaweza kuupata tena zaidi ya mara moja. Yani kwamba hutengenezi antibodies.
Halafu hivi HIV viruses are not corona viruses. Lakini ni kweli kuna magonjwa ambayo hayajapatiwa chanjo hadi leo.

Scientists fear the hunt for a coronavirus vaccine will fail and we will all have to live with the 'constant threat' of COVID-19
Wangeipata ya HIV kwanza.

Wangeipata vaccine ya HIV kwanza. Ambae ni RNA virus kama corona Virus.

Nisome vizuri utanielewa tu. Sidhani kama u u poyoyo kiasi cha kushindwa kunielewa. Nimeelezea kwa wepesi sana.
 
Weka credible sources siyo blah blah!
 
Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.
Mkuu kwanza tuweke baadhi ya mambo sawa

Herd immunity inapatikana pale population kwa kiwango fulani inapojenga immunity
1. Kupitia vaccination, kwamba, 80% kama sikosei ikiwa na immunity, 20% inalindwa
2. Pale ugonjwa unapokuwa na tabia ya kutengeneza ''immunity'' na hasa viral infections

Hakuna vaccination ya ugonjwa COVID-19
Hakuna ushahidi kwamba COVID-19 mtu akipata hatapata tena, ironically, kuna matukio ya kujirudia

Hapa inatueleza mambo kadhaa kuhusu viongozi. Kwamba, wanataka watu washangilie bila hoja ya kisayansi.

Kushangilia ni katika kufunika kile kinachoendelea na kuaminisha umma na dunia hakuna Corona Tz

Hilo linafanyika sambamba na kutotoa takwimu ili kujenga mazingira siku ikifika kwamba tumeshinda.

Mathalani, utasema vipi tuna korona ikiwa huna takwimu? na utasema vipi haipo ukiwa huna takwimu?

Jibu lolote lile ni sahihi kwasababu hakuna msingi wa kupinga au kukubali kwa maana ya takwimu.

suala la umri, hali ya hewa ya joto n.k. ni vitu tusivyoweza kufanyia tathmini kwasababu havisimami vyenyewe bila kuwa na nguzo nyingine.

Katika mambo yanayonishangaza ni pamoja na kuingiza masuala ya dini katika shughuli za serikali.
Kwamba watu wanataka imani zao ziwe imani za Taifa, nadhani hatutendi haki kwa wengine na wasioamini

Serikali haina dini, kazi hiyo iachwe kwa watu binafsi.
Mambo ya maombi si ya kitaifa, Tanzania ina watu wa imani tofauti na wasioamini .

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom