Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

Weka credible sources siyo blah blah!
FaizaFoxy yuko sahihi.

Mtoto anapozaliwa huwa hana kinga yake ya mwili lakini anaijenga kwa kushika shika vitu vyenye pathogens na kuweka mdomoni, puani, machoni na kila sehemu ya mwili wake. Kadri umri wa mtoto unapoongezeka na akili kukua ndivyo kinga inavyoongezeaka na hapo mtoto hupunguza kuweka vitu mdomoni.

Ni intelligence ya Mola wetu au kwa wale "vichaa" watasema ni evolutionary, kuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja. Yaani, mtoto kujifunza kwa kudadisi na kushika shika vitu, wakati huo huo akijenga kinga ya mwili.

Pia ni kweli kuwa mutation ya RNA ni zaidi ya mara milioni ya ile ya DNA. Mama Faiza (naelewa kuna wakati anazingua) yuko sawa kabisa kusema njia pekee ya kujikinga ni kuuwezesha mwili wenyewe kujikinga.

Mwili wa binadamu unauwezo wa kujifunza jinsi ya kupambana na kirusi kilicho mutate, dawa za maabara haziwezi. Hii ndiyo sababu nchi zenye baridi, kila mwaka huwa kunakuwa na flu shot mpya, kwasababu ya RNA mutation.
 
Mkuu mbona hata sijaandika ndefu? Mimi huwa ni precise straight to the point!
Anyways. Samahani nilisahau kuku tag kwasababu nina hakika kwamba tutakuwa na mawazo tofauti na hivyo kuufanya mjadala huu uwe more constructive.

Kuhusu kama Maghufuli alifikiria hivyo toka awali, sina uhakika, ndo maana nikasema nilijaribu sana kufikiria kwamba nia yake ni ipi?

Anyways, kuna hiki kipengele kuhusu research iliyofanyika kule Wuhan China.

Who is getting sick? A look at coronavirus risk by age, gender, and more
Mimi nafikiri hakuna hesabu iliyofanyika, ni uwezo mdogo wa kushughulikia majanga, kiongozi wetu hajawahi kuwa mstari wa mbele kwenye maswala haya, ni kama ana alergy, na mifano ni mingi.

Maswala ya majanga yanahitaji strategies, logistics, planning, budgeting na fikra za haraka. Pia mikutano ya mara kwa mara ambapo soft skills zinahitajika sana.

Bahati mbaya hatuna viongozi wenye hizo soft skills, ndio maana inabidi uyaache mambo yajiendee atakayepona apone atakaeondoka aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wamepoteza maisha hata hivyo, tofauti yetu na wazungu, wao huwa hawapendi kuona mtu anakufa, hata kama ni wachache ila sisi hata wakidondoka 10,000 hakuna shida maadam tutazaana tena.
Wazungu gani hao unaowaongelea?
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy

Yaani serikali inataka wengi waupate ugonjwa wa corona??? Uko serious?
 
Mkuu jmushi, mara nyingi huwa mvivu wa kusoama makala hizi ndefu, lakini nimeona hiyo sentensi inayohusu 'demography'; halafu nikafikiri ndiyo unayoihusisha na kichwa cha habari ya mada yako.

Nataka tu nikuulize swali juu ya uhusiano huo na maamuzi yaliyofanywa na rais.

Hivi unafikiri wakati Rais Magufuli anaamua aliyoamua kuhusu jinsi ya kuikabili coronavirus wakati huo, kilichomsukuma kufanya maamuzi hayo ni hiyo 'demography' ya population yake?

Umewahi kusikia nchi yoyote iliyofanya maamuzi kuikabili coronavirus kwa kuitegemea 'demography'?

Je, taarifa za coronavirus kushambulia wazee na watu wenye matatizo zaidi ziliwahi kufanyiwa uchunguzi popote na machapisho yake yakawepo ya kuweza kuwaongoza watu wanaofanya maamuzi kuzitumia taarifa hizo (based on scientific study and publications).

Kama uamzi aliochukua Magufuli unayategemea majibu ya ndio kwa maswali hayo, basi na mimi niweke kwenye orodha ya kumpa hongera nyingi kwa uamzi wake huo.

Vinginevyo, maamzi yake hayatofautiani na mcheza kamali; tofauti pekee iliyopo ni kuwa kamali hii iliweka rehani ya maisha ya waTanzania.

Coronavirus, bado haijulikani sababu zinazosababisha pawepo na tofauti kubwa ya mashambulizi katika nchi za kiafrika, ikiwa ni pamoja na hiyo ya 'demographics.
Nina hakika sababu zitajulikana muda si mrefu. Joto/mionzi ya jua na unyevunyevu vikiwa sehemu ya sababu hizo.

Sasa kama yeye tayari alikuwa na ufahamu wa hayo yote alipofanya uamzi, basi tunaye Rais mwenye uwezo wa ajabu sana!

Mimi ningekuwa karibu na Magufuli, ningemshauri awatumie wataalam wake wa afya wafanye utafiti wa kujua bahati yetu hii inatokana na nini, ili kama ni kitu tunachoweza kuwauzia wengine, basi biashara itanoga sana!

Sijui kama kwenye maandishi yako humo umeweka mchango mkubwa wa sala zetu kwa Mungu? Kama sababu ndiyo hiyo, pia itakuwa ni faida kwetu kwa sababu tutawafundisha dunia yote jinsi ya kuwasilisha maombi kwa Mwenyezi Mungu ili ayakubali. Sio kujisalia tu kama wao wanavyofanya. Tutawafundisha.

Au ni dawa yetu ya 'kujifukiza' na tangawizi, limao..., na nini tena?

Kalamu

JPM hakuweka rehani, aliamua

1.corona haiishi leo hata kesho
2.corona can be controlled na wahusika wa eneo husika kwa njia zao

3.kesho kikitokea kirusi kingine utakimbilia ndani?

4.maisha ya watu na kula yao inategemea kazi ya siku wangeishije? Na jibu utakalotoa mpaka lini?

5.mbona lockdown dunia nzima imeshindwa watu wanarudi mtaani na watapata tena na tena

6.Nani alikuwa na solution sahihi??

Hakuna chochote ambacho rais angeamua bila kupata upinzani wa aidha nyie mnaojifanya wasomi au wananchi kupinga

Lockdown hata JPM angeamua, wananchi wangeingia mitaani

Nyie mnaishi mikocheni nyumba za kurithi na kupokea kodi kila mwezi, mimi natoka home asbh sijui familia yangu itakula nini...you cant lock me down, never

Acheni upuuzi wa kujiona mna akili na soon mtaaibika

Mpaka leo hauoni trend ya dunia inarudi kwenye solution za sweden na Tanzania?

Viongozi wa sweden unawaitaje???
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
Mahesabu ni haya;-
Hakuna fedha za kuhudumia wanannchi dhidi ya huu ugonjwa.
Amri iliyopo ni " songa mbele" atakae dondoka rip , mzima endelea kusonga mbele.. hatuwezi kufa wote.

Ukitaka herd immunity lazima ukubali kutoa kafara wananchi wako.

Ni kweli lazima watu 70% lazima wapate maambukizi ndio mpate herd immunity.Lakini kumbuka 1% ya hao 70% lazima watakufa.Iwapo tupo watu milioni 55 je watafariki wangapi kabla hatujapata heed immunity?
 
Changamoto iko hapo juu tu☝🏾, kwahiyo tukifahamu idadi ya waathirika wa UKIMWI tulionao, itasaidia zaidi.
Kinachotuangusha watanzania wengi kwenye kwenye hili suala la corona virus ni lack of scientific information about the whole thing. Naomba sana kabla sijatoa mchango wangu unipe maoni yako kuhusu hili suala: Wewe unafikiri ni kwa nini nchi nyingi zimechukuwa hatua ya lockdown*? (lockdown*: sipendi sana kulitumia hili neno kwani watanzania wengi wakiongozwa na rais either wanapotosha maana yake makusudi au hawaelewi maana yake kabisa)
 
Zaid ya 5% ya watz wana virus vya ukimwi, 10% ya watanzania wote ni wahanga wa obesity ambao kwa kias kikubwa huwa wana diabetes, kuna wenye mapresha, matatzo ya figo na moyo, wenye malnutrition.

Tuna huduma za afya mbovu, ni maskin sana kwakias kikubwa hao wazee wa age kuanzia 61 ambao ndio 3% bread winner katika familia, tumeshashuhudia sana famili kupoteza muelekeo baada ya hao jamaa kuondoka.

Kuna mambo mengi sna yakuzingati. Fatlia kwenye familia au ukoo wenu wangapi wako over 60 yrs wangapi wana magonjwa ya mda mrefu kma sukar presha ukimwi pumu alafu imagine kma hao wakiondoka italeta impact gani kwanyie mliobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuifikia hiyo 'herd immunity' kuna gharama kubwa sana ya kulipa ambayo ni usalama wa afya na uhai wa wananchi walio wengi maana sio wazee tu wenye Kinga hafifu hata hao vijana unaowalenga wapo ambao Kinga yao ya miili haitaweza kuhimili hivi virusi, hivyo hii njia bado ni hatari.

Nami nimewaza hivyohivyo.

Tutapoteza wangapi?

Watatibiwa wangapi na kukosa watu wa kufanya kazi wanapokuwa karantini.....mfano hao vijana wanaambukizwa let say 20M per one week, hawatakuwa ndani hawa kujitibia.....tutakosa man power wa ngapi? Je hakutakuwepo na wanaozidiwa? Tuna vifaa vya kutosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imenilazimu nikakusome 'mzimamzima.'

Jibu langu la mwanzo halijabadilika, na kwa uhakika kabisa nasema hapakuwepo na uhusiano wowote kati ya 'demographics' na maamuzi yaliyofanywa kuhusu jinsi ya kukabiliana na corona virus.

Lakini nimevutiwa zaidi na kipande hiki nilichonukuu hapo juu kuhusu 'demographics' ya Tanzania, na kutaka kusisitiza zaidi kutoitumia vizuri hiyo 'demographics' yetu nzuri sana.

Hawa vijana ndio ingekuwa dhahabu yetu mpya kabisa ya kutuingizia pato kubwa ndani ya taifa letu kupitia kwenye huu ugonjwa wa coronavirus.

Sisi ndio sasa tungekuwa tunawauzia mabeberu dawa ya kutibu na kujikinga 'mabeberu' wanaopoteza wazee wao kwa wingi.

Tungevuna tu 'antibodies' za hawa vijana wetu, na kuzi'pakeji vizuri na kuwauzia. Hapana, sitanii..., tungekuwa makini ingewezekana kuitumia fursa hii.

Wachina wametumia 'plasma' katika kutibu, na hata huko Marekani wametumia, pamoja na kwamba bado kuna utafiti juu yake unaendelea.
Tunajidharau sana tunapodhani kuwa hatuwezi kufanya jambo - tukawaamini wataalam wetu, tukawapa vifaa vinavyohitajika na wakaingia maabara wakafanya kazi yao ya kuchenjua'antibodies' hizi kutoka kwa vijana wetu na dawa ikapatikana.

Tatizo hatujiamini, viongozi wetu hawana maono, na kazi yao kubwa ni siasa tuuuu katika kila jambo, hata katika mambo yanayohusu sayansi.

Rais ambaye anajitambulisha kuwa na kisomo cha kisayansi ndiye angekuwa mbele kabisa kujenga uwezo wetu wa kuimarisha teknologia na sayansi; lakini imekuwa ni kinyume kabisa. Kwa nini?

Shida ni WHO wanadiscourage kila dawa watu wanaojaribu kuona inafaa...will they accept our antibodies..LoL.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea "virus" ambae ni "DNA" corona ni "RNA" immunity yake huwezi ipata kwa "vaccines" kama vile ambavyo HIV hana "vaccines" mpaka sasa, zimeshindikana kwa kuwa nae pia ni RNA.

RNA ni "mutant" (anajibadili badili), ukitaka usitake ni lazima ujenge kinga ya mwili wako inayojitengeneza "naturally" na inayopatikana "naturally" kwa kui "boost natural immune system" kupitia kujipatia "natural boosters" za "vitamins" kwa wingi kwa kujipatia matunda na mboga mboga vile vile kuota jua la asubuhi na kufanya mazoezi kwa wingi na kuingiliana na kukutana na watu aina nyingi, kama tunavyoishi kikawaida nje ya "lockdowns".

Nimejifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I concur. Nchi zilifanya lockdown lakini zilipiga watu mitaani kwakuwa walitoka kutafuta ugali...what a nosense!!
Kalamu

JPM hakuweka rehani, aliamua

1.corona haiishi leo hata kesho
2.corona can be controlled na wahusika wa eneo husika kwa njia zao

3.kesho kikitokea kirusi kingine utakimbilia ndani?

4.maisha ya watu na kula yao inategemea kazi ya siku wangeishije? Na jibu utakalotoa mpaka lini?

5.mbona lockdown dunia nzima imeshindwa watu wanarudi mtaani na watapata tena na tena

6.Nani alikuwa na solution sahihi??

Hakuna chochote ambacho rais angeamu bila kupata upinzani wa aidha nyie mnaojifa ya wasomi au wananchi kupinga

Lockdown hata JPM angeamua, wananchi wangeingia mitaani

Nyie mnaishi mikocheni nyumba za kurithi na kupokea kodi kila mwezi, mimi natoa home asbh sijui familia yangu itakula nini...you cant lock me down, never

Acheni upuuzi wa kujiona mna akili na soon mtaaibika

Mpaka leo hauni trend ya dunia inarudi kwenye solution za sweden na Tanzania?

Viongozi wa sweden unawaitaje???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachotuangusha watanzania wengi kwenye kwenye hili suala la corona virus ni lack of scientific information about the whole thing. Naomba sana kabla sijatoa mchango wangu unipe maoni yako kuhusu hili suala: Wewe unafikiri ni kwa nini nchi nyingi zimechukuwa hatua ya lockdown*? (lockdown*: sipendi sana kulitumia hili neno kwani watanzania wengi wakiongozwa na rais either wanapotosha maana yake makusudi au hawaelewi maana yake kabisa)
Kwa kweli! Unachokiona wewe ndicho ninachokiona mimi. Kila nikisoma maelezo ya watu humu yaani wanazungumzia vitu tofauti kabisa na maana halisi. Na siyo kwenye kuielezea/kuifahamu lockdown tu.
 
Vipi kwenye hayo makundi Na asilimia zake wenye magonjwa hatarishi kama kisukar, UKIMWI, High na Lowa Blood pressure, Pumu n.k ni wangapi? Mana tumeambiwa corona si tishio sana Bali inapokutana na watu wenye matatizo ya namna hiyo pamoja na kinga ndogo ya mwili kupona inakuwa ni bahati na ndio ukweli pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom