Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

Ningependa kujua undani wa makuzi yako, mfano jinsi baba yako alivyomtendea mama na dada zako. Najua ukweli kwamba kwa baadhi ya watu wa Musoma kwa mfano, hawawezi kuona tatizo la alichofanya Makonda. Sasa inawezekana kabisa na wewe malezi yako ndio yanakufanya usione tatizo hapa, lakini lipo. Labda fikiria kwamba yule dada angekuwa ni mama au dada yako, ungeona sawa alichofanyiwa?
toa uchizi wako hapa makonda mwache apige kazi
 
Kama na wewe una asili ya udhalilishaji au una hiyo hulka huwezi kuona. Haya mambo kuona na kuelewa vizuri mpaka uwe na akili timamu (uwe sober).
Tuoneshe kosa liko wapi wewe unayekua na mwenye akili.
 
Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido.

Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na mila zetu.

Watu wasitake kukuza mambo.

Mtu hata kama humpendi basi usimsakizie mambo ambayo hayapo.

Kusema tu Usiongee na mimi kama mchumba wako ndio ionekane ni kosa hadi watu walishikie Bango?

Hebu tuwe serious tujikite kwenye mambo yenye tija.

Mbona nyinyi mnaiba pesa za umma na za hao hao wakina Mama na watoto hadi wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma bora.

Mbona nyinyi mnafanya mambo ya matusi mnatembea na watoto wadogo, wengine hadi kuwadhalilisha kingono?

Mbona nyinyi wengine mnafanya hadi vitendo vichafu hadi aibu kuvisema hapa ikiwemo Ushoga na usagaji?

Makonda Paul Piga kazi achana na hawa waganga njaa.
Yaani vichwa maji sana hada hao haki za binaadamu. Badala yaende kuona watu wangapi wanakosa huduma kama haki zao za msingi wao eti kikauli cha makonda wanatoa macho
 
wanamwandama sana ila yule kwa mpango wa kiMungu....hata akitoka leo asiwe kiongozi bado haitasaidia..labda itakuwa faida kwa walaghai wezi nk
 
wanyooosheeeeeeeeeee kakaaa waanyoosheee hapooo awajakujuaa
 
ARUSHA HALMASHAURI IMEJAAA WEZI WATUPUUU MANISPAAA ZINAUZA VIWANJA VYA WATU KAMA VYA WAZAZI WAOOO
 
Back
Top Bottom