Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #81
Wewe unayeona tatizo onesha ni lipi hapo?Ningependa kujua undani wa makuzi yako, mfano jinsi baba yako alivyomtendea mama na dada zako. Najua ukweli kwamba kwa baadhi ya watu wa Musoma kwa mfano, hawawezi kuona tatizo la alichofanya Makonda. Sasa inawezekana kabisa na wewe malezi yako ndio yanakufanya usione tatizo hapa, lakini lipo. Labda fikiria kwamba yule dada angekuwa ni mama au dada yako, ungeona sawa alichofanyiwa?