BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Injia gani hajui hata Kiswahili?Hakutakiwa kuingiza mambo mambo binfasi wakati anamuelekaza, kumwabia haoingei na mchumba wake, sijui hayupo kwenye kitchen party, mara yeye ana mke mzuri nyumbani.... hapo tayari ame insinuate kuwa huyu manakamati anamtaka na anamtongoza na sio ku address alichoulizwa, kwenye kitchen party kuna mambo ya kijinga na kishenzi hivyo asiyalete hapo, kuongelea habari za mahusiano na mke wake ambazo ni maisha yake personal, yeye ni mbaya hana muonekano muzri... kwa kuelezea machache
Angekuwa hamsikii angemwambia sauti yake haisikiki aongeze, na sio kuanza kudive kwenye mambo personal au ku attack muonekano wake.
Amezembea mwadabishe lakini isivuke mipaka mpaka kumdhalilisha mtu au kumuonea kwasababu tu una mamlaka
Amekazana tu BQ BQ BQ!!!