Hulka Moja ya Mwanadamu ni kusifia kitu chake, na Tena linapokuja suala la kusifia, Kwa hulka ya Mwanadamu , anahitaji kusifia kitu chake mbele ya watu ili kitu chake kijue kimesifiwa !!.
Swali ni je...Ni Upi udhalilishaji aloufanya PCM kwenye sentensi hiyo ?.
Mkutano wa PCM, ni mkutano aloitisha na Wananchi wa Kawaida kabisa, ambao vichwa vyao vinahitaji maelekezo sio Maelezo.
BIDADA mvaa miwani, anaoekana kutokua serious, anaonekana mwenye mazoea,,, PCM kama RC mwenye uzoefu na anayejua kinachoendelea.
Anamuamsha BIDADA kua Embu ongea Kwa Lugha ya Wananchi kukuelewa Kwa kua PCM ni mtu wa Hulka ya Kuchomekea anachomekea... "usiongee kama unaongea na mchumba wakoo ....... Unaongea na Wananchi................. Unajua
mie na Mke na ni mzuri " .
hapa Kuna kundi Dogo la wapumbavu waloshindwa kutumia akili tu ya kawaida, na sas Kwa makusudi au Kwa udogo wa akili Yao, wameamua kuitengeneza hiii iwe kama habari !!.
Mh PCM kusema ana Mke Mzuri, Logically anamtaka BIDADA MIWANI kua serious , pili PCM ilikua ni lazima aseme "MKE MZURI" hii nadhani kwetu sisi wanaume
TULIO OA , kumsifia Mkeo mbele ya watu, Huwa inakuongezea
Uanaume na Kwa Mkeo inamsuuza Roho .
Kwan huyo Mvaa miwani, yeye Bwanake huwa hajinadi kua ana Mwanamke mzuri?. Mwanaume hata kama umeona Mwanamke mbaya wa sura au umbo , Huwa ni lazima UMSIFIE TU .
Hata hivo Upendo hsulazimishwi, na ukweli ni kua, Kama ambavyo Kuna wanaume wanene wafupi warefu weupe ,Wabaya wa sura na Sisi ma HB, Wanawake nao wapo Wabovu tu ndio Sababu Kuna Class za Akina Poshy Queen, Kajala , Uwoya, alafu Kuna Class zetu za huku mtaani.
Mwisho niseme, ARUSHA IMEPATA MKUU WA MKOA, TUMUACHE MAKONDA AFANYE KAZI .
MH PAUL MAKONDA, NI KIONGOZI SAHIHI WAKUIGWA MFANO, AMBAYE TUNAMUHITAJI.
Ukiachilia mbali Uwezo Mdogo wa akili na Kufuata mkumbo Kwa hiki kikundi Cha wapumbavu wanaojaribu kutengeneza mazingira mabaya Kwa Makonda,.... Hapa udhalilishaji uko wapi?????.