kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Leo vijana wa medical laboratory walikuwa na written interview lakini maswali yao yote yalibase kwenye maabara za viwandani na mashuleni
Maana mtihani ulibase zaidi kwenye topic za density ile ya form two, volumetric analysis ya form three, wakatolewa vernial calliper ya form one, mambo za amiter na resistor kwenye physics na maswali yote 30 yalijikita huko
Swali langu ni je utumishi wanapima nini hapo mbona kada zingine kama nursing, pharmacy na C.O maswali yao yalijikita kwenye job description yao.
Au mtunzi wa mtihani alijichanganya mwenye experience na utumishi asaidie majibu, Huenda ugeni pia nikawa sijui sana kuhusu mitihani ya hawa Utumishi.