Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

Acha hyo. Leo kulikua na vituko kwenye pharmacy kwanza mitihani haikuwa sild, imeletwa kwenye mabox iko wazi yani unajua kabisa hapa kuna mchezo umechezwa.

Watu wamejazws kwenye chumba kimoja alaf hakuna distance yani unaweza kuandika hapa alaf una copy hapo. Jamaa yangu ananambia yani ule mtihani tayari kuna watu wapo kilichofanyika ni formality tu
 
Dingi nahisi hujanielewa issue sio kukumbuka ilikuwa ni written interview ya wataalamu wa maabara za hospitali maswali yao hayakubase huko wakaja kutoa mambo za amiter, density na surface tension vitu ambavyo havihusiani na maarifa yao ya kuhudumia wagonjwa
Pole aisee, ndio maisha hayo ...
 
kaka mwifa acha tu Interview ya leo imenikanda za uso narudi kwenye kijiwe changu boss ananambia niandike resignation letter kwa kutotii order yake ya kunitaka nisiende kwenye interview, nyie maisha haya😁Bwana atupe faraja wapambanaji
Aisee hii ndio inauma zaid!!
 
YANI UNAFUNGUA UZI KABSA KISA MASWALI YA VOLUMETRIC ANALYSIS,DENSITY NA V.C TENA MFAMASIA! uko vyuo unapigaji mahesabu ya dosage na mengne kama msingi tu huna ulijualo? kweli serikali imefanya la mboleo kupunguza vlaza kuptia utumishi na nashauri hadi ajira za polisi na jwtz ziptie utumishi kwanza then wakachujwe tena uko makambini ili kupunguza idadi ya vlaza serikalini
Mzee unakurupuka tu, vitu vingine sio vya kushabikia. Pole kwa mtoa mada umeambulia matusi tu
 
Hivi zamani mlikuwa mnapewaga kazi bila intavyuu?
Mbona malalamiko yamezidi
 
Back
Top Bottom