Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

Acha hyo. Leo kulikua na vituko kwenye pharmacy kwanza mitihani haikuwa sild, imeletwa kwenye mabox iko wazi yani unajua kabisa hapa kuna mchezo umechezwa.

Watu wamejazws kwenye chumba kimoja alaf hakuna distance yani unaweza kuandika hapa alaf una copy hapo. Jamaa yangu ananambia yani ule mtihani tayari kuna watu wapo kilichofanyika ni formality tu
 
Pole aisee, ndio maisha hayo ...
 
kaka mwifa acha tu Interview ya leo imenikanda za uso narudi kwenye kijiwe changu boss ananambia niandike resignation letter kwa kutotii order yake ya kunitaka nisiende kwenye interview, nyie maisha haya😁Bwana atupe faraja wapambanaji
Aisee hii ndio inauma zaid!!
 
Mzee unakurupuka tu, vitu vingine sio vya kushabikia. Pole kwa mtoa mada umeambulia matusi tu
 
Hivi zamani mlikuwa mnapewaga kazi bila intavyuu?
Mbona malalamiko yamezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…