Kwenye hili Sekretarieti Ya Utumishi ni Sahihi?

sawa ndugu
 
Mleta mada unalalamika mmeletewa mambo mepesi sana, yaani basics!
 
Ishu hapo n aplitude test mkuu ..wanajua vyote unajua ..Kuna logical reasoning, number reasoning n.k pia ni njia ya mchujo hiyo mkuu coz watu ni wengi
 
Mkuu lengo la interview ni kupunguza watu,unazani watatumia njia gani kupunguza watu,

Miaka yetu tulikua tunazama kwenye interview unaulizwa shati lako linavisikizo vingapi,ukikosea ni out,

Hivyo lengo la interview ni kupunguza watu,mjiandae na maswali yoyote
 
Kitu kama hujui uliza tuu mkuu, tangu lini utumishi wakaanda mitihani ya usaili? Wao wanasimamia tuu wala hawahusiki na hy mitihani, hizo lawama zako peleka halmashauri walioandaa hizo mitihani
Halmashauri kule wamejaa vilaza kwanza ata wao hawausiki kwenyekutunga hyo mitiani
 
Kwenye black = sealed

Kwenye red, jichanganye, maswali hayajapangwa kwa mtiririko unaofuatana kwa kila mtu, kopi ufeli.

Kwenye blue, huyo jamaa yako ni nani na kwanini tumuamini? Unajua interview haiko pale kufurahisha watu wote na ndio maana milio huwa ni mingi. Usaili ni usaili, achana na mambo ya formality, kama mtu hajapata wakati huu, anajaribu tena wakati ujao. Maisha hayakuletei kachumbari mezani, unapambana unaanguka unaamka unapambana tena.​

Kuna saili zitakuja za taasisi zenye asali nzito kwenye kada hiyo. Jiandae.
 
Sasa mnapewa vitu vyepesi vya form two mnalia tena mnataka nini nyinyi viumbe, Wenzenu washapiga sana maswali ya research..... Hao ndio PSRS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…