Kwenye hili sitaki nifeli, naombeni ushauri wenu waungwana

Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=

Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Bei ya kuuzia ni 100- 200mkuu fafanua hapa
 
Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=

Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana

Tupe maelezo zaidi kuhusu hii biashara
 
Mkuu kwanza hio milioni kumi umeipata kwa muda gani kabla ya kutaka kuingiza karibu 1.5 M kwa mwezi?Any way iwapo kweli ukoserious na unataka kutengeneza faida ya angalau Milioni 3 kwa mwezi basi njoo PM.Kumbuka uwekezaji wako unaohitajika ni TZS Milioni tatu tu na Milioni SABA itakuwa ni uwekezaji kama Cash reserver na sio operating Capital.Kwa maana ya kwamba itatumika tu pale kunapokuwa na ulazima.

Biashara itasajiliwa kabisa kisheria kama ubia na mikataba ya ubia,Utapa Gawio/hesabu yako kila wiki.Kwa MAelezo zaidi juu ya fursa hii yapo.

Karibu
 
Mkuu itakua vizuri ukiweka maelezo yanayojitosheleza hapa
 
Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=

Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Dah mkuu Biashara hiyo Nzuri Hamna mikoa mingine zaidi ya songea?
 
Mzee baba Kama upo serious hyo pesa ni kubwa mnoo.

1. Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa
2. Ufugaji wa nguruwe
3. Ufugaji wa kuku
4. Fungua duka la jumla na reja reja

Chagua kimoja ukifanyie kazi utakuja kuleta mrejesho
[/QUOT

Duka jumla kwa 10m😜🤸
 
Mkuu itakua vizuri ukiweka maelezo yanayojitosheleza hapa
Mkuu,maelezo niliyoweka mbona yanatosha kabisa?Hii fursa ni exclusive na sio general opportunity kwa hivo hata nikiweka maelezo zaidi ya haya niliyoweka hayataongeza uzito zaidi ya uliopo.Kama unahitaji kuwa mshiriki basi unaweza kuja PM.Vegezo na Masharti kuzingatiwa
 
Vitu vya msingi mtu anaandika kama utani, ikiwa kuna fursa funguka vizuri mwenye mtaji ajipime uwezo wake, wengi humu kinachotusumbua ni idea nzuri na yenye kumlipa.
 
Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=

Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Samaki wa sh mia mpaka mia mbili naweza kuona picha?
 
Kama kazi inakubana wekeza kwenye kununua mazao kama vile mpunga na kuyapiga stock kusubiri bei
 
Hii biashara kuna mtu alitoa story humu kuwa ilimfanya afirisike
Nakumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alifika sokoni samaki wote wamesagika wamekuwa unga unga.
 
Mimi hua naona ukiwa unawazo linalo kuhangaisha kupata capital ndipo unakuwa na uwezo wa kuhimili biashara uliyoichagua. Changamoto utazikabili kwani unaumiliki wa wazo la biashara.

Ila hii yakuambiwa Fanya vile inahitaji anayekwambia awekaribu wakati unaifanya na ikitokea mgongano wa maslahi anakuwa na nafasi ya kukufelisha.
 
Kwa record ya thread zako nimeshindwa kukushauri [emoji1787][emoji1787]
Au hiyo milioni 10 umepewa na chama?

Tazama moja ya uzi wako wa mey 13 mwaka huu
 
Attachments

  • Screenshot_20200618-182051.png
    Screenshot_20200618-182051.png
    37.8 KB · Views: 7
Kwa record ya thread zako nimeshindwa kukushauri [emoji1787][emoji1787]
Au hiyo milioni 10 umepewa na chama?

Tazama moja ya uzi wako wa Januari mwaka huu
Moderators njooni huku mfunge huu Uzi.
Ushakwisha huu.
Mimi nimeshakua nachukia hizi nyuz za sijui nna shs ngapi nataka business ya kupata shs ngapi. Bladful.
Anyhow kwa upande mwingine tunajifunza.
 
Mkuu Mimi naweza kukushauri kulingana na uzoefu wangu kwenye biashara ya steshenari,waweza pata hadi sh 200,000 kwa siku ikiwa utapata eneo zuri

Mfano Mimi hununua ream kwa Shiling 9000 na hiyo ream ina karatasi 500 na kopi huwa natolea sh 100 ,printing sh 500 typing na printing sh 1000 per page, kwa hiyo kama eneo ni zuri kwa biashara, ream tatu kiwango cha chini zaweza isha kwa siku Moja ambapo utakuwa umeingiza takribani 150,000 kwa kila ream.

Ukija kwenye karatasi za kusafishia picha,box Moja huwa na karatasi 100 ,ambapo Mimi huwa nasafishia kwa sh 300 ikiwa mteja atakuja na picha zake, ila nikimpiga Mimi nafanya sh 700,ambapo kama uko eneo zuri kwa siku waweza maliza box 5 kwa kiwango cha chini ambapo utakuwa umepata sh 50,000 kwa kila box hadi kuisha

Hapa ni kwa uchache sana,maana utaweka vitu Vingi tu humo bandani,maana Mimi pia Nina freezer huwa nagandisha ice creams, so faida hii unaipata bila shida mkuu

Try it,nadhani hata Mimi wakati nataka kufungua hii biashara nilileta Uzi humu,japo hili wazi la steshenari sikulitoa humu,maana nilipewa na kaka yangu ambaye hata hajasoma ila faida yake naiona,ninampango wa kuchukua mkopo nipanue hii ofisi iwe kubwa zaidi,maana hata ukiniamsha usiku ukaniuliza biashara yenye faida maradufu hapa Tanzania ni ipi nitakujibu steshenari.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
wewe stationary yako mkuu iko maeneo gani?
 
Back
Top Bottom