dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Bei ya kuuzia ni 100- 200mkuu fafanua hapaNjoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=
Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Njoo tufanye Photo Apps Album kwa Tsh 6000 tu
Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=
Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Hii biashara kuna mtu alitoa story humu kuwa ilimfanya afirisikeNjoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=
Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Mkuu kwanza hio milioni kumi umeipata kwa muda gani kabla ya kutaka kuingiza karibu 1.5 M kwa mwezi?Any way iwapo kweli ukoserious na unataka kutengeneza faida ya angalau Milioni 3 kwa mwezi basi njoo PM.Kumbuka uwekezaji wako unaohitajika ni TZS Milioni tatu tu na Milioni SABA itakuwa ni uwekezaji kama Cash reserver na sio operating Capital.Kwa maana ya kwamba itatumika tu pale kunapokuwa na ulazima.
Biashara itasajiliwa kabisa kisheria kama ubia na mikataba ya ubia,Utapa Gawio/hesabu yako kila wiki.Kwa MAelezo zaidi juu ya fursa hii yapo.
Karibu
Dah mkuu Biashara hiyo Nzuri Hamna mikoa mingine zaidi ya songea?Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=
Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Hapana haikumfirisi Biashara Bali serikali waliweka kambiHii biashara kuna mtu alitoa story humu kuwa ilimfanya afirisike
Mzee baba Kama upo serious hyo pesa ni kubwa mnoo.
1. Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa
2. Ufugaji wa nguruwe
3. Ufugaji wa kuku
4. Fungua duka la jumla na reja reja
Chagua kimoja ukifanyie kazi utakuja kuleta mrejesho
[/QUOT
Duka jumla kwa 10m😜🤸
Mkuu,maelezo niliyoweka mbona yanatosha kabisa?Hii fursa ni exclusive na sio general opportunity kwa hivo hata nikiweka maelezo zaidi ya haya niliyoweka hayataongeza uzito zaidi ya uliopo.Kama unahitaji kuwa mshiriki basi unaweza kuja PM.Vegezo na Masharti kuzingatiwaMkuu itakua vizuri ukiweka maelezo yanayojitosheleza hapa
Samaki wa sh mia mpaka mia mbili naweza kuona picha?Njoo mtera tufanye biashara ya samaki wa kubanikwa,soko lipo songea ni uhakika,tukianza na 500k siyo mbaya. Bei ya samaki bwawani 30-35/= na bei ya kuuzia Songea ni 100-200/=
Nipo tayari kusimamia hiyo biashara,karibu sana
Nakumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alifika sokoni samaki wote wamesagika wamekuwa unga unga.Hii biashara kuna mtu alitoa story humu kuwa ilimfanya afirisike
Moderators njooni huku mfunge huu Uzi.Kwa record ya thread zako nimeshindwa kukushauri [emoji1787][emoji1787]
Au hiyo milioni 10 umepewa na chama?
Tazama moja ya uzi wako wa Januari mwaka huu
wewe stationary yako mkuu iko maeneo gani?Mkuu Mimi naweza kukushauri kulingana na uzoefu wangu kwenye biashara ya steshenari,waweza pata hadi sh 200,000 kwa siku ikiwa utapata eneo zuri
Mfano Mimi hununua ream kwa Shiling 9000 na hiyo ream ina karatasi 500 na kopi huwa natolea sh 100 ,printing sh 500 typing na printing sh 1000 per page, kwa hiyo kama eneo ni zuri kwa biashara, ream tatu kiwango cha chini zaweza isha kwa siku Moja ambapo utakuwa umeingiza takribani 150,000 kwa kila ream.
Ukija kwenye karatasi za kusafishia picha,box Moja huwa na karatasi 100 ,ambapo Mimi huwa nasafishia kwa sh 300 ikiwa mteja atakuja na picha zake, ila nikimpiga Mimi nafanya sh 700,ambapo kama uko eneo zuri kwa siku waweza maliza box 5 kwa kiwango cha chini ambapo utakuwa umepata sh 50,000 kwa kila box hadi kuisha
Hapa ni kwa uchache sana,maana utaweka vitu Vingi tu humo bandani,maana Mimi pia Nina freezer huwa nagandisha ice creams, so faida hii unaipata bila shida mkuu
Try it,nadhani hata Mimi wakati nataka kufungua hii biashara nilileta Uzi humu,japo hili wazi la steshenari sikulitoa humu,maana nilipewa na kaka yangu ambaye hata hajasoma ila faida yake naiona,ninampango wa kuchukua mkopo nipanue hii ofisi iwe kubwa zaidi,maana hata ukiniamsha usiku ukaniuliza biashara yenye faida maradufu hapa Tanzania ni ipi nitakujibu steshenari.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Niko kijijini ila ni senta kubwa,pamechangamka kidogowewe stationary yako mkuu iko maeneo gani?