The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Tatizo nini ndugu.Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!
Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.
Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.
Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.
Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Talaka ya kiislamu ni nyepesi sana.Mkuu mm nilijuaga talaka za waislam zina process maybe shekhe atie mhuri au Hata mashahidi wapitishe hilo.
Ila nikaja kuona talaka tatu za jirani yangu hapa mpemba hv ety n kwenye vipande vya karatasi vimechanwa vipo vitatu, utadhani n vile vikaratasi unaandika namba ili kumuandikia namba wakala atume pesa 😂
kwa kawaida maharusi wa kikristo huvaa suti wanapofunga ndoa ila si sheria, ni fasheni tu ndio maana hata waislam wakitoka kwenye makanzu yao huko walikofungiwa ndoa yao na sheikh wao huenda ukumbuni wakiwa wamevaa suti kama wakristo na bi arusi akiwa amevaa shela. Hujawahi kuona harusi ya kiislam ukumbini jinsi walivyovaa? Kule hutaona mavazi ya kiislam wanavalia ki magharibi tu! Labda wawe choka mbaya ndio utaona vivazi vya kiislam ukumbiniKwamba Rais wa China, Xi Jinping n mkristo?
Sema ukweli wako Tz matajiri wengi ni nani?Waislam wengi ni tia maji tia maji,hali ngumu
ukristuni hakuna talaka, mambo yakikaza na hayarekebishiki unaoneshwa njia ya kwenda mahakamani kutengua ndoa ili kila mmoja awe huru aendelee na maisha yake bila kubughudhiwa na mwenzake endapo atapata mwenza mpya. Kule hakuna kuachana kirahisi. Ila siku hizi wanaachana kimyakimya bila kwenda mahakamani kutengua ndoa. Kimbembe huwa ni mali, kama hakuna mali wanaachana kimyakimyaTalaka ya kiislamu ni nyepesi sana.
Ndoa zenye mali huwa mtihani hususani kama mume ndio hustler na mke hajachangia chochote ila kadhamiria kumkomoa mumewe pasipo kujali welfare ya watoto..ukristuni hakuna talaka, mambo yakikaza na hayarekebishiki unaoneshwa njia ya kwenda mahakamani kutengua ndoa ili kila mmoja awe huru aendelee na maisha yake bila kubughudhiwa na mwenzake endapo atapata mwenza mpya. Kule hakuna kuachana kirahisi. Ila siku hizi wanaachana kimyakimya bila kwenda mahakamani kutengua ndoa. Kimbembe huwa ni mali, kama hakuna mali wanaachana kimyakimya