Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

Sisi wakristo tunaoa kwa gharama lakini mahakamani zimejaa kesi zetu za kudaiana talaka
Lazima uzikute nyingi huko mana wakristo kuachana na mbinde tofauti na nyie kobaz mnaamua tuu.

Ukilala ukiamka unampa talaka na hakuna wa kukuuliza

Akipika chakula kibaya unampa talaka.

Ramadhani ikiisha unampa talaka
 
Sisi wakristo tunaoa kwa gharama lakini mahakamani zimejaa kesi zetu za kudaiana talaka
Sasa lucha, nyie mtaenda mahakamani kufanya nini ikiwa taraka tatu unaweza zituma kwa SMS, whatsapp au ukaiandikia kimemo kama unaagiza viungo vya mboga sokoni.

Urahisi wa kuachana kwa ndoa za kiislamu ndio unaondoa hekaheka. Nothing else
 
Kila Ramadhani lazima ndoa za waislam ziwe nyingi ili kwenda kupelekeana moto, baada ya Ramadhan, ndoa inabaki kifo cha mende.

Ukobaz jau Sana, kwamba miezi yote 11 tendeni dhambi zenu mtakavyo Ila ikifika Ramadhani muwe wamcha Allah 😂
 
Sasa lucha, nyie mtaenda mahakamani kufanya nini ikiwa taraka tatu unaweza zituma kwa SMS, whatsapp au ukaiandikia kimemo kama unaagiza viungo vya mboga sokoni.

Urahisi wa kuachana kwa ndoa za kiislamu ndio unaondoa hekaheka. Nothing else
Mkuu mm nilijuaga talaka za waislam zina process maybe shekhe atie mhuri au Hata mashahidi wapitishe hilo.

Ila nikaja kuona talaka tatu za jirani yangu hapa mpemba hv ety n kwenye vipande vya karatasi vimechanwa vipo vitatu, utadhani n vile vikaratasi unaandika namba ili kumuandikia namba wakala atume pesa 😂
 
uzito wa ndoa kwenye Christianity ni tofauti kabisa na islam, ndoa ya islamic pia inavunjika mara moja wakati wowote ule, kama unaelewa Christianity kuna ubatizo, komunio na ndoa hizo ni hatua muhimu katika maisha ya Christian na ndiyo maana zote zina sherehe ubatizo una sherehe, komunio ina sherea na vilevile baba lao ndoa pia, hivyo ni tofauti kabisa, muslims hawana kitu kama hicho na ndoa kwa muslims haina maana yoyote ile na ndiyo maana inaweza kuvunjwa muda wowote ule na pia inaweza kufungwa hata na wanawake 4 siyo kitu special kwani kinaweza kurudiwa mara nyingi kwa muslims vs Christians ndoa ni hatua muhimu sana ktk maisha ya Christians, hivyo ndiyo maana Christians wanasherehekea na ndiyo maana ya maisha, watu wanaishi wakiwa na kumbukumbu ya ndoa yao ilivyokuwa wana album na picha nzuri za sherehe wanazitunza kama kumbu kumbu na hii yote ndiyo maana ya maisha, inaleta faraja.

fikiria ulishawahi labda kuangalia picha za graduation yako sekondari au hata chuo miaka iliyopita hauoni kama inaleta kumbu kumbu na furaha fulani kwamba ni ukurasa ktk maisha yako ambayo hauwezi kurudi tena ni tofauti kama hauna, hivyo hiyo ndiyo moja kati ya sabubu pia ya Christians kufanya ndoa kuwa siku muhimu kabisa ktk maisha yao kwani haitakuja kutokea tena, kwa hiyo ni sawa kusherehekea ...
Umemaliza yooooteeeeee😘
 
Wengine huwa wanakopa au wanaanza kusumbua kutaka michango. Mfukoni ana milioni 4, bajeti ya harusi milioni 20. Mtu hauna ili wala lile unajikuta tu umeungwa kwenye kundi la michango ya harusi.
Na mtu usipotoa hua wananuna balaa
 
Sasa nyie si mnaachana kwa talaka tatu tu hata mahakamani hamuendi so ndoa za kiislamu ni chache mahakamani kwa sababu hamfuati utaratibu mnamalizana kwa kadhi. Si unakumbuka ishunya dokta mwaka kesi ilikua kwa sheikh wa Dar.

Wasomi tunafuata process na tunajua kuna kugawana mali ukishangaa unaweza geuka masikini dakika sifuri....

Kusoma raha sheikh.... hata wale waislamu waliopiga shule wanafuata sheria na wana mke mmoja....

Si unaona matajiri wa kiislam kina Mo na wengine.
Huna ulijualo mimi nimesoma najua ninachokiongea
Ndoa zenu ni gereza

Mkishachokana wanandoa bora muachane tu kuliko kuuwana mpk kupigana mkaa
 
Huna ulijualo mimi nimesoma najua ninachokiongea
Ndoa zenu ni gereza

Mkishachokana wanandoa bora muachane tu kuliko kuuwana mpk kupigana mkaa
Makobaz bhana, sasa umekaa na kobaz mwenzako hata miaka mitano then mnaona then hammalizi wiki mnaachana unaoa mwngn Ndo unajiona mnajitambua?
 
Umepaniki? Sherehe ni mbwembwe tu. Ndoa inaishia pale kanisani. Kiongozi wa dini, wasimamizi, pete na mkataba basi.

lkn nimeshalielezea hilo, ni utamaduni wa Christians kusherehekea na wamefanya hivyo for centuries, ni kipi kigumu kuelewa hapo? Christians wanasherekea ubatizo, wanasherehekea komunio na vile vile ndoa, ni sehemu ya maisha na utamaduni wa Christians, sasa kuita ''mbwembwe'' sielewi unachomaanisha,

kwa mujibu wa ai hii ndiyo maana ya mbwembwe

Mbwembwe ni kitendo cha kujionyesha, maridadi ya kupindukia, majivuno, au kufanya mambo kwa staili ya kuvutia macho na kusifiwa. Mara nyingi hutumika kuelezea tabia ya kutaka kuonekana, kufanya "show" (maonyesho), au kujivuna kwa lengo la kuvutia usikivu wa watu.

sasa sidhani kama watu wote wanasherehekea ubatizo, komunio au ndoa kwa sababu ya ''mbwembwe'' kujionyesha kama ulivyosema ...
 
Makobaz bhana, sasa umekaa na kobaz mwenzako hata miaka mitano then mnaona then hammalizi wiki mnaachana unaoa mwngn Ndo unajiona mnajitambua?
Sasa kule kuuwana ndo kujitambua? Akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom