Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!

Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.

Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.

Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.

Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Sasa mtu anaoa mwanzo wa ramadhani anaacha baada ya idi ufanye sherehe ya nini? Si utafilisika?

Mtu anaweza kuoa hata mara 10 anaoa anaacha anaoa anaacha... si balaa hili...

Wakristo ukioa ndio basi tena huyo ni wako wa kufa na kuzikana na hiyo process mpaka mtu apate talaka ni balaa....

Kwa kifupi kila mtu ashinde mechi zake....
 
Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!

Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.

Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.

Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.

Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.

KamA una mwanaume wa kikristo mwambie akuoe tu hizo ndoa wakristo huwa wanazo hata za watu 20 .ndoa na harusi ni vitu Viwili tofauti itakuwa hufahamu kuwa wakristo katika hilo hawana cha kujifunza coz they do that. Mwambie jamaa yako akuoe asitafute visingizio. AKUOE HATA NEXT WEEK
 
Kuna jamaa angu ni muislam, ananiambia nikitaka kuoa ili nisiingie gharama kubwa niwe muislam nikaoe huko kwa gharama nafuu. Hapa mtaani ndoa ya kiislam imefungwa fasta, maandazi tu na chai mtu akafungishiwa ndoa!
Ila ndoa ambazo hufungwa mwezi huu wa Ramadhan hazina maisha. Baada tu ya kufungua nazo zinafunguka. Ni kama ndoa za kimkataba tu.
 
Kuna jamaa angu ni muislam, ananiambia nikitaka kuoa ili nisiingie gharama kubwa niwe muislam nikaoe huko kwa gharama nafuu. Hapa mtaani ndoa ya kiislam imefungwa fasta, maandazi tu na chai mtu akafungishiwa ndoa!
Ukristo haujasema watu wafanye harusi na ndoa za gharama,nenda kanisani funga ndoa b
 
Harusi za bomani nazo ni simple kuliko za kiislam. Bomani mnaenda wanne tu tena kwa miguu, bwana na bi arusi na mashahidi wawili. Kisha mnarudi nyumbani bila shangwe na mbwembwe, msosi unaoliwa ni wa kawaida tu ulioko kwenye ratiba ya mlo wa siku. Ila kuna watu wanafungia bomani, sherehe ya kifahari inaenda kufanyika ukumbini, wanavaa kama wa makanisani. Sherehe za harusi za kikristo zinaigwa na waislam na wa bomani na wale wa kimila
 
Ndio maana limke linakuwa linakukalia kichwani na kukusamba samba kisa limeolewa kwa afu hamusini, oa demu kwa mahela na heshima itakuwepo siku akinizingua hata nikimchinja itakuwa ni haki yangu hata mbinguni japo mahakama za kibinadamu hazita nielewa.
 
Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!

Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.

Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.

Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.

Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Kwani wewe Una shida gani! Kuwa ngangania Wakristu wawe Waislam?? wakristu kwa wingi wao wakisilim Mademu awatatosha Peponi! So bakini nao
 
Kuna jamaa mslamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe!

Wakati wa sa1 kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shehe aliefungisha ndoa kapigwa buku5 tuu ya maji.

Yani ndoa mpaka inakamilika haijazidi hata elfu50.

Hawa jamaa kwa upande huu nawakubali sana.

Wakristo sasa utakuta ndoa inagharimu mamilioni.
Nakuachana ni simple tu like that
 
ndoa za mkeka mwezi huu mtukutu wa ramadhani huwa ni nyingi sanaaaa!! Mwezi wao mtukutu ukiisha wanaachana!! Ko sishangai wakitumia chini ya 50000. Gharama za nini na wakati ndoa haitadumu hata miezi 3?
 
KamA una mwanaume wa kikristo mwambie akuoe tu hizo ndoa wakristo huwa wanazo hata za watu 20 .ndoa na harusi ni vitu Viwili tofauti itakuwa hufahamu kuwa wakristo katika hilo hawana cha kujifunza coz they do that. Mwambie jamaa yako akuoe asitafute visingizio. AKUOE HATA NEXT WEEK
Kumekucha kumekucha

Oya kobazi unazingua mwana ni wa kiume acha mambo yako bhana tumefunga
 
Ukristo haujasema watu wafanye harusi na ndoa za gharama,nenda kanisani funga ndoa b
kuna pasta hapa ni mhafidhina, hapendi ndoa za gharama na mbwembwe nyingi. Ndoa inafungwa hapohapo panageuka ukumbi na msosi unaliwa hapohapo. Msosi wenyewe waumini wamechanga kufanikisha ndoa ya mshirika mwenzao. Cha msingi ulipe mahari tu, habari ya misosi waumini watakuchangia kwa kadri ya bajeti ya walaji watakaohudhuria, hakuna michango ya kadi wala kiingilie
 
Ndoa na Ijabu na Qabul...hizo nyengine zote ni mbwembwe tu.
Na hio kwa Dini zote sio uislam tu.
Halafu boss Kipepe hio arusi ulioenda wewe sema ni ya watu wa hali ya chini na sio kwa sbb ya waislam. Kuna arusi zinafanyika za waislam kubwa sana zinagharimu mamilioni ya pesa tena arusi inafanyika siku siku 5 au 7 na kwa upande mwengine kwa wakristo kuna arusi nazo zinafanyika za kimaskini, maarausi wanakula viapo kwa ndoa...imeisha hiooo
Na hilo ndugu kipepe unalijua vzr sana basi tu umetamani kuleta hii mada ili watu wachangie negative ndio furaha yako
 
Back
Top Bottom