Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
HahahaaAu tufanye importation ya mademu wa ki Ecuador wake tuwafumule
Muulize mama yako ndio anajua who is Ponjoro wa KinondoniHuna thamani katika hili taifa.
Ni mzoga unaotembea
Hakujui huyo😁😁😁.Muulize mama yako ndio anajua who is Ponjoro wa Kinondoni
Wamesema El nino imeanza toka mwezi wa nne, ulikuwa wapi hela zimeisha?Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.
Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.
Kama kuweka kwenye account ni mlolongo mrefu basi amtume Abduli au Mafwele aniletee hapa Mbagala Rangi 3 kona Bar.
Ndio imemuua ChivayoWamesema El nino imeanza toka mwezi wa nne, ulikuwa wapi hela zimeisha?
Sawa 01529863600 jina Tundu Antipas LissuWeka account yako nikuwekee zote hizo
Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.
Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.
Kama kuweka kwenye account ni mlolongo mrefu basi amtume Abduli au Mafwele aniletee hapa Mbagala Rangi 3 kona Bar.
Msafara wa kuzindua madarasa
Gharama ya msafara (magari, mafuta na posho) ni kubwa kuliko thamani ya madarasa yenyeweMsafara wa kuzindua madarasa
Siku za nyuma ujanani, ilisemekana kwamba eti mbwa huwa anajipelekaga mwenyewe kwa chatu na kuliwa - sijui kama kuna ukweli hapo. Ila ukweli upo kwamba wawindaji wakiwa porini kuwinda na ikatokea wakimwona chatu huwa haraka sana huwashikilia kwa nguvu mbwa wao na kuondoka eneo hilo haraka kwa usalama wa mbwa wao.Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo.
Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa.
Kama kuweka kwenye account ni mlolongo mrefu basi amtume Abduli au Mafwele aniletee hapa Mbagala Rangi 3 kona Bar.
Digits 11 ni a/c au ni cm? Ponjoro usiniangushe bhana. Ukipata usinisahau walau ya soda.Sawa 01529863600 jina Tundu Antipas Lissu