Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Umekuwa na hekima kubwa na busara nyingi. Ingefaa sana Maalim Seif angepata ujumbe huu murua. Hongera sana kwa uungwana wako, nimekukubali sana!
 
WanaCCM tuko na chuma jemadari mkuu JPM hapa uwanja wa ushirika moshi, huku wachaga wote wameitikia ccm kwa kauli ya beee baabaa, nakujaa. Halafu unatuomba tuchague hayo?

Kati ya sehem nlikua nahofu nazo ndo moshi na arusha maaana zlikua ngome za cchadema lakini kwa mapokezi ya magu , mambo ni moto
 
Kwani si walikaa na kukubaliana kwenye vikao halali vya Chama??? Tatizo lipo wapi??? Kwani katiba yao haijasema mambo ya msingi yataamuliwa na vikao halali vya Chama??
kikao pekee cha chama kilikua kumpa ikugombea urais membe...hv vikao wanavyofanya kumkataa havikuwahi fuata taratibu..ndo maana katiba ilikua wazi hapo chini
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-10-21 at 08.06.29 (1).jpeg
    47.2 KB · Views: 1
Umenena ukweli na unamjua vizuri. Moto wake pia ulimuunguza Hamad Rashid Mohammed wa ADC alipoitaka nafasi yake ya Ukatibu Mkuu walipokuwa wote CUF. Anapaswa kukua kibusara na kuheshimu mitazamo ya wengine hata kama haipendi
 
Hapo ndio utaona Lipumba alikuwa sahihi, Seif ana maamuzi yake badala ya kufata maamuzi ya chama.

Hivi waliona ugumu gani kuitisha vikao na kusema wamebadirisha maamuzi.
Membe kampeni zake zilitakiwa kuratibiwa na chama lakini kwa act inaonekana kampeni za mgombea urais ni swala binafsi la mgombea ni aibu kwa chama kinachojitapa kutaka kuitoa ccm madarakani.
 
kikao pekee cha chama kilikua kumpa ikugombea urais membe...hv vikao wanavyofanya kumkataa havikuwahi fuata taratibu..ndo maana katiba ilikua wazi hapo chini
Wewe ni nani useme vikao havikufuata taratibu??
 
Ndivyo walivyo wasio na msimamo thabiti - vigeugeu! Bora kumtumaini Mungu asiye kigeugeu kuliko wanadamu
Hawezi kurudi, atakuja kusema wameibiwa kura, shika haya maneno yangu. Chadema wooote watakao kuja baada ya uchaguzi watasema wameibiwa kura hawana hoja yoyote ya kushindwa.
 
Hawa wenye vyama binafsi unadhani wana staha?. Kule kama hujatoa fungu unakuwa kama kinyesi.
Chagua Magufuli, chagua ccm.
 
... aibu kubwa!
 
Kati ya sehem nlikua nahofu nazo ndo moshi na arusha maaana zlikua ngome za cchadema lakini kwa mapokezi ya magu , mambo ni moto
Mkuuu njooo apa uwanja wa chuo cha ushirikaa. Uonee wachaga walivyovalia kijaniiii. Chademaa wanatia hurumaa. Uwanja unaendelea kutapika ata JPM wala hajawaza atakusogea uwanjanii. Chadema imebakia huko ikwiriri kibiti. Sisi wachaga tumeikataa mchana kweupee.
 
Haya tutayaongea baada ya uchaguzi mkuu, kwa sasa kumbuka "weka tiki kwenye kisanduku jina la mwisho kabisa wa karatasi utakayopewa ya ula oo sorry ya kura.
 
Lugha anayozungumza Maalim Seif hakuna anaeielewa isipo kuwa CCM ,na CCM wamekaa kimya baada ya chenga nyingine kutoka kwa Maalim Seif ,wameielewa na imeshawalaza na kuwakatisha tamaa.

CCM walitegemea Seif atangaze Membe nae anaunga mkono Lisu ,lakini wapi kazidi kupigilia msumari kama vile kuna tangazo la ngumi baina ya mabondia wawili kila mmoja hapwesi amemkazia macho mwenziwe ,na hapa Maalim amekaza na Membe kakaza na Lisu kakaza CCM wameduwaa na ufisi wao,tamaa ya kuwaengua iwapo mmoja atajitoa au kutangaza kujitoa ,subirini dakika ya 89.

Hizi ndio siasa za kijitu kizima hamna chakubanga wala bashiru hapa,mtaelewa tu kuwa Membe Lisu Seifu ACT Chadema wanaibuka na ushindi usio na mpinzani.

Ufisi wenu CCM kwa sasa mmechelewa na inaonyesha mmeachwa mbali sana.
 
Tangu mwanzo hapa hapa jamvini tulisha kwambia kabisa kuwa Membe amekuja upinzani kufanya nini na nilikuwa nakusisitizia juu ya hilo.

Sijui kama ulichukulia tahadhali zote tulizokuwa tunakupatia juu ya mh Membe kwenye kambi ya upinzani.

Naona sasa umeanza kuelewa nini ilikuwa ni wasiwasi wetu juu ya ujio wa mh Membe.
 
Naunga mkono hoja mkuu, bora angempigia simu wa kamaliza ndani kwa ndani
Hakuna kulea tabia za kipuuzi kama hizo ambazo kimsingi zina dumaza upinzani hapa nchini kwetu.

Nia ya mh Membe haikuwa ni kuupigania upinzani wa kweli bali ilikuwa ni kuhakikisha kuwa upinzani mwaka huu unapotea kabisa na kuipatia ccm ushindi wa kishindo wa 99%.
 
ACT tulifanya makosa kumkaribisha nduli chumbani .nduli ni nani nduli ni Mmbe yupo kazini kuvuruga upinzani kama Lowassa,
Binafsi nilisema sana hapa hadi kufikia kukosana kwa lugha na baadhi ya wana jamvi juu ya ukweli uliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…