Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Lissu ndiyo rais wetu watanzania kwa awamu ya sita.
 
Na hiyo ndiyo kazi iliyo mleta Membe upinzani ingawa kimsingi cdm walisha izima kwa asilimia kubwa.

Lengo lao ccm ilikuwa Membe awe mgombea wa vyama vya upinzani vyenye nguvu ili baadae either ajitoe au vyovyote vile.
 
Huyu atakuwa alitumwa na CCM
 
Watu wa ccm mmeishiwa mipango sasa mmebakiwa na maneno ya kwenye khanga
Na hawa ndo wanaongoza kwa kutufungulia thread humu za kulia lia kuomba msaada humu baada ya wanaemtetea kwenda kinyume na matarajio yao.
 
Mkuu lazima wamejaribu kuongea nae ndani ya chama au ‘private’ ikagonga mwamba, ndio maana walichelewa sana kumuunga mkono Lissu. Membe amezingua sana sana. Ila mbele ya wananchi yeye si chochote si lolote. Watu wote tuko na Lissu.
 
Amesema tusubiri goli la ushindi dakika ya 89, inawezekana hatujamuelewa atafungeje hili goli. Tatizo anatumia lugha ngumu, watu tuna mambo magumu mengi, hatuna muda wa kutafuna mifupa migumu hiyo, aseme wazi "yupo kivipi kwenye match"
 
Wewe na Membe tuliwajua mapema adhima yenu yakuvuruga mikakati ya uchaguzi, mlipoona chadema wamebumbuluka Membe akanywea na ndipo ACT wamestuka Hilo tego. Membe ni Mpuuzi km alivyokuwa Lowasa.
 
Maalim alikuwa sahihi. Kwa sababu Membe mwenyewe aliyasema hayo kwenye Press, kwa nini Maalim ayaseme kifichoni.

Ukijiheshimu utaheshimiwa, lakini ukijidharau nawe utadharaurika mbele ya jamii. Ukinishutumu kwenye press nami nitakujibu kwenye press, nukta.
 
Nyie kanyaganeni tuu CCM inasonga mbele..

Chagua CCM kwa MAENDELEO ya Tanzania mchague Mzalendo Magufuli kwa MAENDELEO YA KWELI.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kama hataki kumuunga mkono? Mi hadi sasa nashindwa kuwaelewa waru, hivi inakuwaje membe analazimishwa kumuunga mkono lissu ikiwa yeye mwenyewe anataka kugombea? Kama atapata kura chache baasi aachwe azipate ni haki yake
 
Teh Membe kasema atakuwa Rais na kampeni hafanyi sasa sijui anataka kufanya mapinduzi?
Amesema atafunga goli la ushindi dakika ya 89.
Sikumuelewa lakini Membe sio chizi analake jambo.
Katulia tuli anapanga baraza la mawaziri.
 

Mna taarifa kinachoendelea Nigeria
 
Mudhihir Mudhihir alituambia mapema sana kwamba Membe ni Joka wa Mdimu na kweli hana tofauti
 
Nimeona maajabu pale Himo,magi wamehamisha majeshi.Vunjo inaelekea kusalimu amri kwa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…