Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Uchaguzi 2020 Kwenye Issue ya Membe, Maalim Seif umeover react na hii siyo sawa

Maalim hana hekma na busara,anyimwe kura na wazanzibari ataleta mpasuka kwa wapemba na waunguja kama alivyojaribu kuleta mpasuko CCM,CUF na sasa anaipasua ACT.
 
Huyu Maalim Seif asisahau kwamba Membe na yeye Seif wamejiunga na ACT Kwa dhamira moja tu sasa asimponde mwenzie na kumuona kakosea kisa yeye kapata. Ndio maana nasema hatuna upinzani na wapinzani tuna wachumia tumbo tu
 
Are you serious. Lissu huyu Huyu. Anashinda kwa Kura zipi. Nakuomba urudi hapa tarehe 1.11.2020. usione Aibu.
Acha kubisha ndugu, Tundu Lissu anachukua nchi hii mapema sana baada ya Ushindi wa kimbunga

Hilo liko wazi kabisa
akili zako fupi.....kwa tume gani?
Mtu humtoka kilichomjaza.. Inawezekana hivyo ndivyo ulivyo.. Pole sana..

NARUDIA TENA .. MH TUNDU A LISSU, ANASHINDA UCHAGUZI KWA KURA ZA WANANCHI NA ATAKUWA RAIS HATA TUME IKIGOMA KUMTANGAZA
 
Hawa ACT ndio maana Lissu alishawahi kuwapa makavu live.
 
Are you serious. Lissu huyu Huyu. Anashinda kwa Kura zipi. Nakuomba urudi hapa tarehe 1.11.2020. usione Aibu.
IMG-20201021-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom