NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Maalim hana hekma na busara,anyimwe kura na wazanzibari ataleta mpasuka kwa wapemba na waunguja kama alivyojaribu kuleta mpasuko CCM,CUF na sasa anaipasua ACT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vichaaa tuu wanaoweza kuamini Lissu anaweza kuwa Rais wa JMTNiko serious zaidi ya sana. Tundu Antiphas Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025. Utake usitake
Sawasawa na wewe kumbuka kurudi hapa.
kura ni moja kwani munaruhusiwa kupiga mara mbiliKwenye karatasi ya kupigia kura Membe ni namba tisa, Wazalendo tunampa kifuta machozi.
kichaa anashinda gereji akipiga tu kimoja hoiNi vichaaa tuu wanaoweza kuamini Lissu anaweza kuwa Rais wa JMT
Chadema walishang'atwa na nyokaACT tulifanya makosa kumkaribisha nduli chumbani nduli ni nani nduli ni Mmbe yupo kazini kuvuruga upinzani kama Lowassa,
Acha kubisha ndugu, Tundu Lissu anachukua nchi hii mapema sana baada ya Ushindi wa kimbungaAre you serious. Lissu huyu Huyu. Anashinda kwa Kura zipi. Nakuomba urudi hapa tarehe 1.11.2020. usione Aibu.
Mtu humtoka kilichomjaza.. Inawezekana hivyo ndivyo ulivyo.. Pole sana..akili zako fupi.....kwa tume gani?
Unadhani sote tu sawa?Ulikuwepo kwenye makubaliano hayo?
Are you serious. Lissu huyu Huyu. Anashinda kwa Kura zipi. Nakuomba urudi hapa tarehe 1.11.2020. usione Aibu.