figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wenzako wamekimbia kutoa ushahidi pamoja na kukesha wakifundishwa namna ya kujibu. 😀LISSU MTOTO MDOGO . APEWE CHUPA YA TOGWA ANYWE
Mataqo ya mazeri wakoLISSU MTOTO MDOGO . APEWE CHUPA YA TOGWA ANYWE
Je Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu?
KAMA MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU?
Na Emily Mwakilembe
Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria. Natamani kusikia sauti ya Sheria! Msamiati ya Haki, chenga za Courtroom
Natamani kuona cross examination ya Genius huyu akiwapitisha mashahidi wake kwenye njia ya Sheria kama Safari ya Loliondo kwa babu Ambokile Mwasapile kupata Kikombe cha haki. naogopa lakini ni salama. Na Hawa ndio mashahidi wa Lissu 15 on the stage.
1. Samia Suluhu Hassan – Rais haramu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Dkt. Philip Mpango – Makamu wa Rais Mstaafu
3. Kassim Majaliwa – Waziri Mkuu Mstaafu
4. Jenerali Camillius Wambura – Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania. (IGP)
5. Ramadhani Kingai – Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI)
6. Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa
7. Ramadhani Ng’anzi – DCP — Deputy Commissioner of Police Naibu Kamishna wa Polisi
8. Agatha Atuhaire – Mwandishi wa habari/ mwanaharakati kutoka Uganda
9. Boniface Mwangi – Mwanaharakati wa Kenya
10. John Marwa – Mkurugenzi wa Jambo TV
11. Amani Golugwa – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA
12. John Heche – Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA
13. John Mnyika – Katibu Mkuu wa CHADEMA
14. Jaji mstaafu Willy Mutunga – Kenya
15. Martha Karua – Mwanasiasa na wakili kutoka Kenya.
Ukisikia ukimeza ya moto kutema Hutaki ndio hii, kesi hii ilipofikia ni kidonda kwenye tako, kukaa panauma kulala panauma, anyway ngoja nisubili Ijumaa, nione tunatema au Tunameza.
TOgwa kunywa wewe.LISSU MTOTO MDOGO . APEWE CHUPA YA TOGWA ANYWE
Mnawasumbua Majaji wetu bila sababuJe Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu?

Kwahiyo hata uhuru wetu wa kuandika unawakela? Tuueni basiKuna vitu vingine mnaandika kwa kujirurahisha,
Kwahiyo hata uhuru wetu wa kuandika unawakela? Tuueni basi
Sipati picha Samiah anaulizwa una akili timamu?LISSU MTOTO MDOGO . APEWE CHUPA YA TOGWA ANYWE
Sijui tunawaza kwa kutumia niniKuna uhandishi mwingine hauna malengo na ni WA kipumbavu, Kama baada ya ushahidi kufungwa na facts zote zaonyesha Hana kesi ya kujibu,na majaji watafungwa midomo na kusema ana kesi ya kujibu.....
Ni mpumbavu tu anaweza fikiri kwamba majaji wanweza amrisha rais aje kama shahidi, Kuna vitu vingine mnaandika kwa kujirurahisha, Tanzania tumwfeli!
Mtoto mdg kwa nani sasa?LISSU MTOTO MDOGO . APEWE CHUPA YA TOGWA ANYWE