Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

Kwenye kampuni/ biashara binafsi ni heri ufanye kazi kwa Muhindi, Muarabu, Mchina ama Mbongo mwenzako?

Hao uliowataja ni shida kwa muhindi utaitwa ng'ombe mpaka ukome
Kwa mwarabu wana matusi hao wapuuzi balaa
Kwa mchina usipokuwa makini na bakora zipo kwa mbongo sasa utanyanyaswa mpaka ukome
Niliinjoi kuifanya kazi na kampuni X ya makaburu
 
Labda sina maarifa kamili ila nachojua ng'ombe ni Mungu wa Wahindi wanakutukanaje kitu wanachokiona kitakatifu.

Hao wote yupi mwenye afadhali ?
 
Mchina Safi hata umwibie atakuchekea tu kikubwa uwe na bidii ya kazi jamaa hawapendi mtu mvivu.

Mhindi Hana adabu ukiwa dereva jiandae kupewa beseni la nguo za watoto ufue kama boss Hana ratiba ya kutoka. Hataki pesa yake iende Bure.
Waarabu ni ntu na ntu Kuna wengine Wana utu wengi ni shidaa same same kwa wabongo
 
Wote hao hovyo bora kwa mzungu.
Hivi mi nawazaga hawa illegal immigrants wanaotumia huruma liberal wazungus kujazana ulaya na marekani ikitokea wakijaa kuzidi wazungu, waafrika tutakua salama huko ?
 
Hivi mi nawazaga hawa illegal immigrants wanaotumia huruma liberal wazungus kujazana ulaya na marekani ikitokea wakijaa kuzidi wazungu, waafrika tutakua salama huko ?

Uwezo wa kuwaongoza wazungu ndo hawana. hata wawe wengi kiasi gani bado wataongozwa
 
Kuajiriwa ni utumwa....

Ata walioajiriwa na serikali ni mateso tu....wananyonywa sanaa na serikali hasa kwenye kodi
 
Kuajiriwa ni upuuzi sana unapoteza tu muda wako just imagine unafanya kazi siku 30 unalipwa kiasi unakitumia ndani ya wiki kimeisha usote siku zote bila hela usubiri mzunguko mwingine,
Ndani ya mwaka uko na limited amount of money asee tujiongeze sana tutakufa maskini
 
Back
Top Bottom