sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Labda sina maarifa kamili ila nachojua ng'ombe ni Mungu wa Wahindi wanakutukanaje kitu wanachokiona kitakatifu.Hao uliowataja ni shida kwa muhindi utaitwa ng'ombe mpaka ukome
Kwa mwarabu wana matusi hao wapuuzi balaa
Kwa mchina usipokuwa makini na bakora zipo kwa mbongo sasa utanyanyaswa mpaka ukome
Niliinjoi kuifanya kazi na kampuni X ya makaburu
Hivi mi nawazaga hawa illegal immigrants wanaotumia huruma liberal wazungus kujazana ulaya na marekani ikitokea wakijaa kuzidi wazungu, waafrika tutakua salama huko ?Wote hao hovyo bora kwa mzungu.
Hivi mi nawazaga hawa illegal immigrants wanaotumia huruma liberal wazungus kujazana ulaya na marekani ikitokea wakijaa kuzidi wazungu, waafrika tutakua salama huko ?