Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana.
Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo:
1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (Amesisitiza ni pande zote mbili za Muungano)
2. Wazingatie kutunza siri.
3. Kutii mamlaka iliyo juu yao kiutendaji na pia kuiishi dhana ya uwajibikaji wa pamoja (lililokubaliwa na serikali, basi limekubaliwa na wote waliomo serikalini). Asiwepo wa "kujitoa" au "kujiweka pembeni" na maamuzi hayo wakati mtu huyo nae ni sehemu ya hiyo serikali.
Kwa maneno na nasaha hizo za Mh. Rais, je kilichomuondoa balozi Mulamula kwenye nafasi yake ni kutokuyatekeleza hayo (insubordination)?